Kweli hadi kwa housegal jamani

Kweli hadi kwa housegal jamani

Umeongea point!!! Ukishalala na housegirl ujue atajiona sawa na mkeo, hapo ndiyo kimbembe utakiona maana utafayiwa vituko mpaka ukomee, na ndoa inaweza kuvunjika

Sio kujiona sawa tu bali kujiona yeye ndo yeye na mke taka! Mwishowe ataona kama nayeye ameweza kulalwa basi ipo siku ataifikiria nafasi ya kuwa mke nasi housegal!
 
Uu mcmu nahic naend kudisco chuo kwan nashinda jf mpak dah,,,na vituko kila cku ni vipya
Yaan nikiingia pindi najikuta nachek Cheka dadeki BT fresh ngoj nifate stareh angu ilipo shule ipogo tu
Starehe yako ipogo kwa housegalz ama?
 
..........Ila kula house gal kiongozi acha tafadhali. Yaani kweli ukose nyapu huko nje hadi uje ule ya house gal wako kweli jamani, kwanza unakuwa unamdhalilisha mkeo sana tena sana pili nihatari kwa familia yako yote (hatari kwako kwa watoto wako na kwa mkeo pia) anything bad can happen, hujawahi kufikiria hata familia yako kudhuriwa au unatafuta umaarufu!

Kwa yeyote mtaka papuchi ya housegal wake please ajiangalie kwanza na afikirie kabla ya kutenda.


MUTTAZ.
Muttaz bandiko lako linaonesha kwa house girl hapana ila nje kwingine ruksa! Hapana Muttaz, hizo hatari unazoziogopa kutoka kwa house girl hakika unaweza kuzipata hata kwa wanawake wengine wa nje. Ni hatari kutoka nje ya ndoa fullstop!
 
wanaume sijui mnataka nini .kuna jamaa alitembea na paka wao .yaani just imagine mtu anamtamani paka wake hadi anafikiria kumuingilia sembuse msichana wa kazi. Mungu aingilie kati huko chini
Kama Akina Samsoni watu wa Mungu walishindwa. Kuna mwanaume duniani alikuwa mzinifu kuliko Samsoni? Licha ya hiyo Mungu akawa anawasiliana naye mubashara ije iwe sisi kizazi Cha ngeseki ambacho manabii zetu Ni Akina gwajima Na Mzee wa upako.

Utamu was papuchi Ni ule ugumu was kuipata Na ila ya kujifichajificha ya kuibia Yani yenye vizingiti. Unafifht unahonga ndiyo tamu. Mikiki vizingiti n.k.

Maamae Samsoni unaenda hadi ngome ya adui muarabu Gaza kutafuna vibinti vya kiarBu. Kunasiku vijana wake kiarabu Gaza walimzingirA kwa wivu wa kugegeda binti Yao. Aliwatembezea kibano Cha haja Na kuwatahiri. Kwa mkwara akanyanyua getig kubwa Na zito mgongoni Na kwenda kulitupa mbali Wakati vijana was Gaza vidonda vya tohara havinapona Kisa Papuchi
 
Yaani mm nina House girl mzuriiii,muiraq toto jeupeeeee,hips hiyaaaa!! Na anapiga kazi balaa,adabu za kutosha na upendo wa hali ya juu!Sasa huyo anaetaka kumgegeda amgegede hakuna namna! Siwezi kuacha kuwaajiri watoto kisa mwanaume niliyenae hizi ni akili chafu zao wakiamua kunisaliti! Yaani sihofiagi hili
Nimekupm Mkuu
 
Na usiajili housegal mbaya kuhofiwa mumeo kula, kwa huyo wakwako popote pale utaenda naye kwani unaonekana kumfeel pia! Big up Mamy.
Nampenda sana coz anatimiza nilichomleta afanye mengine wala siyaingilii! Mama angu alianza kunionya nikamuelewesha akanielewa wasichana warembo wananyanyasika sana kisa wamama wanaogopa watawabebea waume zao,kama bwana ako mzinzi mzoee isiwe sababu ya kunyanyasa wengine kama ni malaya hata binti aweje atampanda tuuu!!!! Mm nimekua natongozwa na hadi ndg wanaume MUNGU tu awasamehe!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wanaume sijui mnataka nini .kuna jamaa alitembea na paka wao .yaani just imagine mtu anamtamani paka wake hadi anafikiria kumuingilia sembuse msichana wa kazi. Mungu aingilie kati huko chini
Pussy hata mimi nakula. Kwanza utanipa lini?
 
Nampenda sana coz anatimiza nilichomleta afanye mengine wala siyaingilii! Mama angu alianza kunionya nikamuelewesha akanielewa wasichana warembo wananyanyasika sana kisa wamama wanaogopa watawabebea waume zao,kama bwana ako mzinzi mzoee isiwe sababu ya kunyanyasa wengine kama ni malaya hata binti aweje atampanda tuuu!!!! Mm nimekua natongozwa na hadi ndg wanaume MUNGU tu awasamehe!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kweli, nimekupata.
 
Kuna uzi nimeuona ila ghafla siuoni!

Kuna jamaa alikuwa anaomba ushauri anataka kugegeda house gal wake baada ya mkewe kusafiri na kumuacha naye! Nihitaji kumpa ushauri huu hapa chini ila nikaona siwezi komenti chochote kwenye uzi na baadaye uzi siuoni tena.

Kati ya vyote, kutia house gal siwezi nasijawahifikiria! Nimekaa nao kama saba hivi na wengine wazuri kweli ila huwa nahitaji wife awafanye kama wanetu au ndugu zetu wa dam kuanzia mavazi, malazi na misosi tule pamoja hata kama hakuzoea, na ninashukuru mambo si mabaya wife anawamudu na wanaendana naye. Na nikiona dosari huwa nawasiliana na wife then yeye anamaliza nao.

Ila kula house gal kiongozi acha tafadhali. Yaani kweli ukose nyapu huko nje hadi uje ule ya house gal wako kweli jamani, kwanza unakuwa unamdhalilisha mkeo sana tena sana pili nihatari kwa familia yako yote (hatari kwako kwa watoto wako na kwa mkeo pia) anything bad can happen, hujawahi kufikiria hata familia yako kudhuriwa au unatafuta umaarufu!

Kwa yeyote mtaka papuchi ya housegal wake please ajiangalie kwanza na afikirie kabla ya kutenda.


MUTTAZ.
Anayegegeda house girl, ana asilimia kubwa ya kugegeda binti yake. Nasema asilimia kubwa!
 
Kwani House girl sio mwanamke Wote wanafaa kugegedwa ........Hata Biblia imeruhusu ilo Jambo..
 
Kwani House girl sio mwanamke Wote wanafaa kugegedwa ........Hata Biblia imeruhusu ilo Jambo..
Usidanganye kiongozi bible haijaruhusu, namm sijasema housegal sio mwanamke ni mwanamke ndio ila yeye hujamuoa basi ajili house boy nayeye amle mkeo!
 
wanaume sijui mnataka nini .kuna jamaa alitembea na paka wao .yaani just imagine mtu anamtamani paka wake hadi anafikiria kumuingilia sembuse msichana wa kazi. Mungu aingilie kati huko chini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] paka acha utani aisee
 
Yaani mm nina House girl mzuriiii,muiraq toto jeupeeeee,hips hiyaaaa!! Na anapiga kazi balaa,adabu za kutosha na upendo wa hali ya juu!Sasa huyo anaetaka kumgegeda amgegede hakuna namna! Siwezi kuacha kuwaajiri watoto kisa mwanaume niliyenae hizi ni akili chafu zao wakiamua kunisaliti! Yaani sihofiagi hili
Nipe no zake natafuta mchumba Muiraq madam
 
Uu mcmu nahic naend kudisco chuo kwan nashinda jf mpak dah,,,na vituko kila cku ni vipya
Yaan nikiingia pindi najikuta nachek Cheka dadeki BT fresh ngoj nifate stareh angu ilipo shule ipogo tu


Angaliia usije ukadisco kweli
 
wewe unajua maana ya neno SURIA Katika biblia?
Kipi kilichokusibu mpaka uwe na chuki na imani zingine? Pole yako
Ukimuabudu Mungu katika roho na kweli utampenda kila mtu hata adui yako pia.
Mtafute sana Mungu
 
wanaume sijui mnataka nini .kuna jamaa alitembea na paka wao .yaani just imagine mtu anamtamani paka wake hadi anafikiria kumuingilia sembuse msichana wa kazi. Mungu aingilie kati huko chini
Unadhani kwanini wewe pamoja na paka wote mnaitwa Pussy?
 
Hata kenye bibble ipo hiyo wahenga walikuwa wanawapa waume zao ma house girl wawazalie watoto kama zawadi
 
Back
Top Bottom