Ndondobwila
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 562
- 407
Kwa faida yetu wote, ilitakiwa liandikwe vipi mkuu?Wana jamvi,
Heshima kwenu. Leo nimepita karibu na bunge letu tukufu. Nimepigwa na butwaa kuona hili bango katika kama sehemu tatu: STRICTLY NO PHOTOGRAPH ALLOWED IN THIS AREA. Kweli hakuna aliyegundua kuwa kiingereza cha tangazo hili kina tatizo?
Nilitaka nilipige picha lakini ghafla nikagundua kuwa tangazo hili linakataza kupiga picha!!
Kumbe siyo Sizonje peke yake mwenye matatizo na ung'eng'e!! Inaelekea yeye anatuwakilisha wengi!!
Tafadhali uongozi wa bunge tuondoleeni aibu hii haraka sana!
No beating photo hereKwa faida yetu wote, ilitakiwa liandikwe vipi mkuu?
Kosa liko kwenye photograph ilipaswa iwe photographyWana jamvi,
Heshima kwenu. Leo nimepita karibu na bunge letu tukufu. Nimepigwa na butwaa kuona hili bango katika kama sehemu tatu: STRICTLY NO PHOTOGRAPH ALLOWED IN THIS AREA. Kweli hakuna aliyegundua kuwa kiingereza cha tangazo hili kina tatizo?
Nilitaka nilipige picha lakini ghafla nikagundua kuwa tangazo hili linakataza kupiga picha!!
Kumbe siyo Sizonje peke yake mwenye matatizo na ung'eng'e!! Inaelekea yeye anatuwakilisha wengi!!
Tafadhali uongozi wa bunge tuondoleeni aibu hii haraka sana!
NO PHOTOGRAPHING IS ALLOWED IN THIS AREAKwa faida yetu wote, ilitakiwa liandikwe vipi mkuu?
Ni photography sio photographingNO PHOTOGRAPHING IS ALLOWED IN THIS AREA
Photography is an adjective. Photographing ni kitendo. Kinachokatazwa ni kitendoNi photography sio photographing
Ni photography sio photographing
Tatizo la kucopy na paste bila ku digest. You are not rightUko sawa kabisa mkuu. Photography is the science, art, application and practice of creating durable images by recording light or other electromagnetic radiation, either electronically by means of an image sensor, or chemically by means of a light-sensitive material such as photographic film
Photography - Wikipedia
Tatizo la kucopy na paste bila ku digest. You are not right