Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
wadai pesa uliyotoa anzisha mwenyewe then tafuta vijana wa kusaidiana nawe
Strong idea
wadai pesa uliyotoa anzisha mwenyewe then tafuta vijana wa kusaidiana nawe
Keisha Nagano kuzira, vitu vingine vya kufanya.[/yQUOTE]
Yu
y
khaaaaaa wanawake tunashida machoko hao mim ningewanyang'anya tenda wallai yani wako wapi hao kwani nenda kachukue pesa waambie mwenye sherehe kakataa daaa yani nimekasirika hebu wanyan'ganye hiyo tenda harakaa nasema daaa mmxxxiiiuuuu
Hahahahahahaaaaaaa. umenitia moyo sana, yaani binadamu ni ngumu kumuelezea namna alivyo. Unacheka na mtu kumbe moyoni ni hatari. Yaani we acha tuu.
Hahaha...dah mi mwenyewe yamenikuta haya. Nimempa mtu aidia ili tuifanye pamoja...kaenda kumwambia rafiki yake ndo wameamua kufanya pamoja mi nimemwagwa lol