MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 351
Naomba wahusika waniwie radhi kama nitawakwaza. Nimelazimika kuyasema haya . Siku za hivi karibuni umeibuka utaratibu wa viongozi wa dini kuita vikao wao au kushirikishwa katika vikao na kutoa maneno yanayoashiria kuwa wamepewa kitu kidogo na wenye nacho na hivyo kutoa matamshi yanayotia mashaka miongoni mwa wananchi walio wengi.
Wananchi wanawashangaa viongozi waliowaamini kwa kauli wanazozitoa, sasa wanayumba waendelee kuwaamini? au wafikirie vinginevyo. Hali ya nchi iko bayana ubinafsi uko bayana(hekalu la Karagwe wanalijua? Uwanja wa ndege wa kimataifa wa kijijini Chato wanaujua??, ubaguzi uko bayana(angalieni kina masanja walivojazana kwenye taasisi zote nyeti za serikali??, ukabila uko bayana, unyanyasaji uko bayana (Tundu Lissu kupigwa risasi na wasiojulikana, wasiojulikana kumtishia Nape bastola, halafu viongozi wa dini wanafunika kombe mwanaharamu apite!!!!!. Narudi kwenye dini zetu za asili, hizi za sasa ni biashara hamna dini