kwakuniita dogo tu umeshajitambulisha ulivyo mkurupukaji.. mbona wenu alipojinyea hukusema?? au nalo pozi la siasa
Sasa sisi waTanzania ndio tunamtaka rais wa namna hii!!! yuko tayari kwa jambo lolote na wakati wowote! sio kuzubaazubaa! Huyu kama htatari inatoikea anaweza jihami yeye mwenyewe hategemei walinzi 100% kwa Tanzania ilipofika hatakiwi Raisi wa kusinziasinzia a.k.a Mdebwedo no! Tunataka mtu sharp physically and mentally! And Magufuli is the one! Nikukumbushe , hebu tafuta picha ye Rais Mstaafu wa Ghana alivyoingia mtaroni kushuhudia what was wrong na inakuwaje watendaji wanashindwa tatua!?!? Ndio tunamtaka Rais wa Caliblre hii!
View attachment 293294 ambaye yuko tayari kwa jambo lolote...!!!??? Hata kama ni LA kipuuzi hata kama ni la kipumbavu hata kama halina maslahi kwa taifa...... Kweli kazi tunayoView attachment 293296
Sasa kupiga push up na Kutoka kikomandoo kutoka kwenye roof juu kuna upumbavu gani hapo?
Duu Mwana unajua push-up ilivyo lakini? View attachment 293298 kila jambo lina mahali pake tuachane na propaganda hivi pale angevaa bukta akapanda jukwaani angeeleweka kweli?
Iko hivi angedamka asubuhi ataenda jogging na tracksuit yake kisha akapiga hizo push-ups zake na kuparamia magari isingekuwa tatizo
Hamna cha propaganda Mshana , tunataka Rais Sharp!!! kwa tulipoofikia Tanzania tunataka Rais sharp in all corners! Sharp in making decisions! Hapo message sent t all of us Ugoigoi kazini mwisho 25thOctober 2015!!!!!
I do repeat "Sasa sisi waTanzania ndio tunamtaka rais wa namna hii!!! yuko tayari kwa jambo lolote na wakati wowote! sio kuzubaazubaa! Huyu kama htatari inatoikea anaweza jihami yeye mwenyewe hategemei walinzi 100% kwa Tanzania ilipofika hatakiwi Raisi wa kusinziasinzia a.k.a Mdebwedo no! Tunataka mtu sharp physically and mentally! And Magufuli is the one! Nikukumbushe , hebu tafuta picha ye Rais Mstaafu wa Ghana alivyoingia mtaroni kushuhudia what was wrong na inakuwaje watendaji wanashindwa tatua!?!? Ndio tunamtaka Rais wa Caliblre hii!"
Shit! Shit! Sasa tatizo lipo wapi hapo? Badala ya kusifia uhimara wake wa afya ninyi mnaponda?
Mbona nabii Musa na baadhi ya manabii walikua wanaambatana na askri wao kwenye viwanja vya mapambano kupigana dhidi ya maadui zao?
mpuuzi kweli kuruka kwenye gari ndio ushapu? taifa gani lililoendelea raisi wake wameruka kwenye magari? huo ni upuuzi na utahira
hivi wewe kwa akili zako nyumbani kwako uache kutokea mlangoni upitie juu ya bati utakuwa na akili kweli?
Htatari = Hatari
Inatoikea = inatokea
Usiseme sisi Sema mimi. Kwani mwalimu wako hakukufundisha hata kutofautisha umoja na wingi? Ama ndo div 5 katika ubora wake!
SISI inawakilisha majority sasa kama wewe unamezaaliyokufundisha mwalimu bila kuanalyse itakuwa ngumu kuelewana!!!
Ukumbuke kuweka space baada ya kila neno tafadhali. Kwani hiyo simu ni mpya?
Unaongeleaje majority wakati unajua fika kwa sasa mlio upande huo hamzidi hata asilimia 30?
Cc: wembeee
Cc: nifah
Na wote wanaojitambua ✌✌ #TorokaUje
Mpuuzi ni yule asiyejua kuoanisha matukio na hali halisi.Kuruka kwenye gari ni ishara ya kutake action haraka!!! Hiyo ndiyo messagesitasema sana maana kama tafsiri ndogo kama hiyo imekushinda sijui mengineitakuwaje???
Of course majority ya mafisadi wakoupande wako sasa mafisadiwako asilimia ngapi Tanzania. Fanya hesabu za asilimia uje ulete jibu hapa.SISI ( majority) hatuna wasiwasi tunangojea tu tarehe 25 October 2015, Jembea.k.a Tingatinga lianze kazi liwanyooshe wazembe!
Of course majority ya mafisadi wakoupande wako sasa mafisadiwako asilimia ngapi Tanzania. Fanya hesabu za asilimia uje ulete jibu hapa.SISI ( majority) hatuna wasiwasi tunangojea tu tarehe 25 October 2015, Jembea.k.a Tingatinga lianze kazi liwanyooshe wazembe!
Dah, MAGUFULI HAJIELEWI. Tunatafuta Rais siyo mwanasarakasi! Zigo hili haliuziki!!
Kwanza kaombe wakusaidie kukununulia simu inayofanya kazi vizuri ndo uje kuongea hapa mana hiyo inaonyesha fika kuwa touch yake ni mbovu
Nanyamaza maana kama argument yako ni unatumia simu gani ooh touch whatever!?! Badala yakuongelea hoja nzito. Let me remind you my sister, hapa tunamuongelea mtu waMustakabali wa Watanzania zaidi ya milioni arobaini kwa muda wa miaka kumi andbeyond. Sasa ukianza mambo ya touch screen wakati huu. Mungu wangu are youserious?!?!?