Kweli CHADEMA Yaweza Kuiangusha CCM Kalenga? Namba Hazisemi Uongo...

Kama ni upepo wa mabadiliko kutoka Iringa mjini basi CDM itapigwa chini maana watu wanaona namna Iringa mjini ilivyozorota chini ya uongozi wa Msigwa.
 
Nina machache ya kuchangia

Kwanza nakubaliana na MM kuwa cdm wana nafasi ya kushinda Kalenga, kwanza ccm wamemsimamisha kijana mzuri hasiyekuwa na ushawishi mkubwa dhidi ya mwanamke mwenye uzoefu na ukakamavu.

Ingawa tusipuuze pia matokeo ya UDIWANI ya mwanzoni mwa mwaka huu ambapo cdm ILIGARAGAZWA VYA KUTOSHA na ccm. Wapiga MBIU wa ccm wanaweza kutumia MATOKEO MABAYA ya cdm kuwaonesha wana-kalenga kuwa cdm IMEPOTEZA MVUTO maeneo mengine nchini tofauti na 2010.
 
Maneno yenu meeengi mwisho ni Jumapili tu! Kelele zote zitaisha!
 
Mwanakijiji umechambua sana siasa ya Kalenga, kama ulivyofanya Arumeru Mashariki ambapo uchambuzi wako ulionyesha ccm kushinda kwa kishindo, tafsiri yako CHADEMA waliibuka kidedea. Sina imani na uchambuzi wako......... mimi ni mfuatiliaji mzuri kusoma makala kwenye blog yako, lakini hainipi imani uchambuzi wako una ukakasi mwingi
 
CHADEMA ina tatizo moja kubwa la kujiimarisha kwa chopa badala ya kufungua matawi na ofisi zake kwenye majimbo haya!
hii hoja NAKUBALIANA nayo kwa kiasi kikubwa, sielewi kwanini cdm hawaoni umuhimu wa kujiimarisha VIJIJINI na VITONGOJINI ili kuwa na chama IMARA. Viongozi na wanachama wa cdm LAZIMA WATAMBUE ILI vinginevyo wataendelea kuimba wimbo wa KUIBIWA kura ilhali UDHAIFU umo kwenye mikakati yao wenyewe
 
Kwenu na baba yako ndio mshereheshaji

Sikuoni tena Joly Club sikuhizi! Hata siwasikii tena Twanga wakikurusha. Umeishia wapi jaman Mama Mingoi. Washabiki wako tunakukumbuka sana ulivyokuwa unakata mauno!
We miss you alot!
 
Last edited by a moderator:
Kampeni ya nyumba kwa nyumba ni kali sana kuliko kusomba watu kwa malori/fuso. Huyu Mama atasomba kura nyingi za akina mama na wababa na baadhi ya vijana wachache na kuibuka kidedea kama hautakuwepo uchakachuaji
 
Sikuoni tena Joly Club sikuhizi! Hata siwasikii tena Twanga wakikurusha. Umeishia wapi jaman Mama Mingoi. Washabiki wako tunakukumbuka sana ulivyokuwa unakata mauno!
We miss you alot!

Museveni anakusubiri kwa hamu
 
Binafsi sitaangalia sana nani kawa mbunge Jumapili. Nitaangalia zaidi ni chama kipi kimeporomoka au kuimarika kwa kufananisha percentage ya sasa na ya 2010... hii itatupa picha halisi kuwa 2015 tupredict nini hasa baada ya daftari kuboreshwa...
 
sioni ni kwa jinsi gani chadema wanaweza kushinda jimbo la kalenga au chalinze
 
Buku 7 siku za hivi karibuni wameongezeka humu kwa kasi ya kimbunga,....

Tatizo lao hawajui kujibu hoja,ni kuandika utumbo tuu...!

Mkuu Nape Nnauye,kuna haja ya kuajiri vijana wenye atleast shahada moja ya PSPA,Sheria etc...waje wajadili hoja humu..!

Hawa Vilaza wako wanashusha hadhi ya jamvi tu hapa....hawajui kujenga hoja zaidi ya matusi...

Tafadhali Mr.Nnauye,tuletee watu wenye uelewa kidogo.....!
 
Kinachofuata ni uzi ule ule, chopa 3 kata 3

toa pointi kama mleta mada alivyofanya sio propaganda.chopa 3 zilienda wapi?kufanya nini?na je unafikiri hao watoto wanaohutubiwa na Lema wanajifunza nini juu ya ccm?ogopa sana mtoto akishaaminishwa jambo,
 
Sikuoni tena Joly Club sikuhizi! Hata siwasikii tena Twanga wakikurusha. Umeishia wapi jaman Mama Mingoi. Washabiki wako tunakukumbuka sana ulivyokuwa unakata mauno!
We miss you alot!

...Mkuu Mama Mingoi wa Twanga Pepeta kwa sasa ni mnogeshaji kwenye harusi mbali mbali !!

Picture+106.jpg
 
Back
Top Bottom