Kweli CHADEMA wamepoteza mwelekeo (Bhahahaaaaa)

Kweli CHADEMA wamepoteza mwelekeo (Bhahahaaaaa)

Hujui kuna ripoti nyingine inasema masikini wameongezeka kwa kiwango cha watu milioni 2 ndani ya hii awamu ya tano??!

Alafu unajua nini kilisababisha hadi tukafika hapo uchumi mdogo wa kati??? Unajua Magufuli alikuta figures zikoje kutoka kwa JK???? Unajua ameongeza nini ndani ya iyo miaka 5????? Kama Unajua hata usingemsifia humu kwa sababu nadhani hata wewe na ukilaza wako Ungeongeza hata dola 300 au 400 kwa hii miaka mitano ila yeye hajazidi hata dola 100 tena kwa miaka 5
Hatamkiongea vipi ninajua awamu ya 5 ndo imetufikisha ktk uchumi wakati, awamu ya 5 ndo imejenga hospitali nyingi zaidi, barabara nyingi zaidi, reli yakisasa, bwawa la kuzalisha umeme, elimu bure, kujenga na kuboresha bandari na viwanja vya ndege, kununua radar 4 mpya, ndege 11, kujenga ikulu na kuhamia dom nk. Kwahiyo mpe pole DJ Mbowe.
 
Hata mjerumani alijenga reli ya kati na viwanda
 
Jmp ameshindwa hata kuboresha huduma za afya nchinj mpaka godfather wake amekufa kwa malaria baada ya nchi za mabeberu kuwapiga stop kwenda kutibiwa kwao
 
Nikumbushe ripoti ya benki ya dunia waliyoitoa mwanzoni mwa mwezi huu, wanasema uchumi wa Tanzania umekuwaje vile. Bhahahahahaa, Ni kichaa tu ndiye anayeweza kuwaza kama wewe.
We pimbi uchumi umekua wakati heslb inashindwa kuwapa wanavyuo hela za kujikim
 
Hujui kuna ripoti nyingine inasema masikini wameongezeka kwa kiwango cha watu milioni 2 ndani ya hii awamu ya tano??!

Alafu unajua nini kilisababisha hadi tukafika hapo uchumi mdogo wa kati??? Unajua Magufuli alikuta figures zikoje kutoka kwa JK???? Unajua ameongeza nini ndani ya iyo miaka 5????? Kama Unajua hata usingemsifia humu kwa sababu nadhani hata wewe na ukilaza wako Ungeongeza hata dola 300 au 400 kwa hii miaka mitano ila yeye hajazidi hata dola 100 tena kwa miaka 5
Kikwete kawachana chana juzi wameshindwa kukuza uchumi mpaka yule mlopokaji wa serikali imebidi ajee kukanusha ambavyo havikanushiki. majinga Sana haya majitu
 
Hatamkiongea vipi ninajua awamu ya 5 ndo imetufikisha ktk uchumi wakati, awamu ya 5 ndo imejenga hospitali nyingi zaidi, barabara nyingi zaidi, reli yakisasa, bwawa la kuzalisha umeme, elimu bure, kujenga na kuboresha bandari na viwanja vya ndege, kununua radar 4 mpya, ndege 11, kujenga ikulu na kuhamia dom nk. Kwahiyo mpe pole DJ Mbowe.
Mbona awamu ya tano imeshindwa kujenga choo Cha soko pale kilwa? Mpaka wananchi wametakiwa kwenda kunya kwa mkurugenzi na DC
 
Kama kweli Chadema si tishio woga wa nini?
Au bado mnaogopa hata kivuli chake?

Hiyo pesa mliotumia kuyarubuni yale yaliokuwa magarasa yaliotapikwa na Chadema na mlipoyajaribu kutia nia yamekataliwa na wavuja jasho.

Ni dalili tosha CCM mnaenda kupasuka vipande vipande sababu hamjielewi.

Imekuwa mazoea sasa Magufuli kufanya kazi za DC,DED,RC,waziri kwa sababu mmeukimbia MWONGOZO wa chama chenu,mmekosa mwelekeo.

Katika safari yake Raisi Magu kutokea Mtwara hadi Dar jana imembidi afanye kazi ya katibu kata,katibu Tarafa,DC,DAS,RC,RPC, n.k kwa kuwa hawajitambui.Hiyo ni ishara tosha ya Serikali ya CCM inaelekea kukosa nguvu ya kisiasa ya kutawala taifa hili.
 
Nianze kwa kumpongeza mheshimiwa JPM kwa miradi mikubwa ya maendeleo aliyoitekeleza ndani ya miaka 5 ambayo sehemu yameorodhesha hapa >>> Awamu ya Tano yafanya makubwa kwa kipindi kifupi

Sasa hawa hawa CHADEMA mwanzoni mwa utawala wa JPM walisikika wakisema kwamba JPM anatekeleza ilani ya CHADEMA maana anayoyafanya ni yale yaliyomo kwenye ilani yao. Maneno haya yameendelea kuwatesa mpaka leo.

Sasa hivi wanasema hakuna hata 1 ambalo JPM amelifanya tangu aingie madarakani, yaani hata mtoto mdogo ukimwambia hivi anajua tu kuwa akili yako ina hitilafu. Kwa mujibu wa vikao vya ndani vya CHADEMA ambavyo nikivujisha audio zake hapa nitakuwa nimekizika rasmi nami nawa stahi, ni kwamba hawa mabwana wanatishwa na kasi ya JPM.

Wanadai amevuruga mipango yao, amefanya mambo tofauti na walivyo fikiri, ameenda mbele zaidi ya walivyo tegemea na sasa hawana sera ndio maana agenda yao kubwa msimu huu haitakuwa ufisadi tena, agenda yao ni kuhurumiwa na wananchi kwa risasi za Lissu (huku wamemficha shahidi no 1 ambaye ni dereva), watakuwa wanaomba pia huruma za wananchi kwa kitendo cha mwenyekiti kulewa chakari na kuteleza kwenye ngazi.

Hakika JPM umewachanganya watu. Mpaka JK amekuonea wivu, si mchezo. Safari hii unapata ushindi 99.9% na kura ya Lissu itaharibika maana atakuwa anapiga huku anashangaa mambo makubwa uliyoyafanya na atakuwa anawaza atawaambia nini mabeberu baada ya kushindwa.

Amen.
Unapata taabu sana kuitetea ccm pole.
 
Back
Top Bottom