Bepari
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 904
- 329
Wabunge kama kina John Komba types wanaweza kusoma muswaada wakaelewa na kuchangia? tena kumbuka umeandikwa kimombo kibovu. Wengi wapo wapo pale kushangilia kila kitu hata kama ni cha kupuuzi ili mradi kimeletwa na CCM tu.
Kaka yangu John alifikiri Bunge ni sehemu ya kutungia nyimbo za kampeni. Tuna safari ndefu na wabunge wetu wasioelewa maana halisi ya uwakilishi wa wananchi wao wanaingia bungeni kuiwakilisha CCM na kudumisha fikra potofu za viongozi wa chama chao.
"Fungeni milango tupigane!" ni kauli ya mbunge akiwawakilisha wananchi wake bungeni.
Naamini una maneno mazuri sana ya kulisapoti hili, halafu utuambie tofauti yako kwa Chadema na Komba kwa Sisiem...