Kweli CCM Mabadiliko Yanakuja

Kweli CCM Mabadiliko Yanakuja

Nikifatilia kwa makini mkutano mkuu wa CCM hapo Dodoma kweli nimeamini chama hicho kimeamua kufanya mabadiliko makubwa. CCM ni chama tulichokizoea kikifanya mikutano yake mikuu kwa mbwembwe na utoaji rushwa kwa wazi, kinyume na hayo wakati huu nidhamu ni hali juu kwa wajumbe.
Mabadiliko makubwa yalihitajiwa kwenye chama hicho ili kukidhi matakwa ya watanzania na ile tabia ya kuonea aibu ilileta madhara makubwa kwenye chama hicho.
Natoa pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM, Katibu Mkuu na Halmashuri kuu kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kuwaondoa viongozi waliokuwa hawana nia njema na chama hicho. Sasa tusubiri mwaka uchaguzi wa mwaka 2020 tuone chama kipi kitakuwa cha kifisadi, kichaka cha mafisadi ama watetezi wa mafisadi.
upuuzi unaandika mafisadi mmewaacha mnafukuza watu safi. sofia simba ana ufisadi gani? au jesca ana ufisadi gani. kuzima demokrasia ndo kuzaliwa upya??
 
Wapo wamejaa tele.
Ni kweli wapo.

Hua wanakua wazee ambao wanahofia kuchagua chama kingine kisa machafuko kama walivyoaminishwa na Mwenyekiti.

Vijana wa vyuoni ambao wanalelewa na ccm kwa kuahidiwa ajira wakimaliza masomo.

Mambumbumbu.

Walio mbali na maeneo wanayoweza kupata taarifa za kinachoendelea nchini mwao.

% chache vijana ambao walitafuta ajira muda mrefu kisha wakaja wakapata.

Mwenye maslahi na ccm.
 
Nikifatilia kwa makini mkutano mkuu wa CCM hapo Dodoma kweli nimeamini chama hicho kimeamua kufanya mabadiliko makubwa. CCM ni chama tulichokizoea kikifanya mikutano yake mikuu kwa mbwembwe na utoaji rushwa kwa wazi, kinyume na hayo wakati huu nidhamu ni hali juu kwa wajumbe.
Mabadiliko makubwa yalihitajiwa kwenye chama hicho ili kukidhi matakwa ya watanzania na ile tabia ya kuonea aibu ilileta madhara makubwa kwenye chama hicho.
Natoa pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM, Katibu Mkuu na Halmashuri kuu kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kuwaondoa viongozi waliokuwa hawana nia njema na chama hicho. Sasa tusubiri mwaka uchaguzi wa mwaka 2020 tuone chama kipi kitakuwa cha kifisadi, kichaka cha mafisadi ama watetezi wa mafisadi.
Hiyo ni one man show. Akiondoka kinara hata kina Nape hawawezi hizo sarakasi!!
Mtaminyana hadi matumbo!!
 
Jamani mbona mimi sikioni kizuri kinachosifiwa humu kutokana na hatua hizi za fukuza fukuza zaidi ya hasara mbeleni ni mtazamo tu!
 
Nikifatilia kwa makini mkutano mkuu wa CCM hapo Dodoma kweli nimeamini chama hicho kimeamua kufanya mabadiliko makubwa. CCM ni chama tulichokizoea kikifanya mikutano yake mikuu kwa mbwembwe na utoaji rushwa kwa wazi, kinyume na hayo wakati huu nidhamu ni hali juu kwa wajumbe.
Mabadiliko makubwa yalihitajiwa kwenye chama hicho ili kukidhi matakwa ya watanzania na ile tabia ya kuonea aibu ilileta madhara makubwa kwenye chama hicho.
Natoa pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM, Katibu Mkuu na Halmashuri kuu kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kuwaondoa viongozi waliokuwa hawana nia njema na chama hicho. Sasa tusubiri mwaka uchaguzi wa mwaka 2020 tuone chama kipi kitakuwa cha kifisadi, kichaka cha mafisadi ama watetezi wa mafisadi.
Hahaha present makini? Unamjua vizuri Lt Coln wewe?Yule anayependa damu ya isis shauri yako
 
akili za wakijani zina"load" mda mrefu sana,kitu cha dakika kinachukua miaka kukielewa ndomana hatuendelei!! Speed ya 0.0000000004 G.
siasa zaleo sio za visa na visasi ni uchumi na uimara(kiusalama). Ingekuwa visa Trump angefukuza republican karibu wote. Ivi ndoto zenu ni kusifiwa na Trump...mjifunze basi hâta kwake!! Rais wawote ananadi anavyeo vingi kwaajili ya chamachake!! Shame
 
Nikifatilia kwa makini mkutano mkuu wa CCM hapo Dodoma kweli nimeamini chama hicho kimeamua kufanya mabadiliko makubwa. CCM ni chama tulichokizoea kikifanya mikutano yake mikuu kwa mbwembwe na utoaji rushwa kwa wazi, kinyume na hayo wakati huu nidhamu ni hali juu kwa wajumbe.
Mabadiliko makubwa yalihitajiwa kwenye chama hicho ili kukidhi matakwa ya watanzania na ile tabia ya kuonea aibu ilileta madhara makubwa kwenye chama hicho.
Natoa pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM, Katibu Mkuu na Halmashuri kuu kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kuwaondoa viongozi waliokuwa hawana nia njema na chama hicho. Sasa tusubiri mwaka uchaguzi wa mwaka 2020 tuone chama kipi kitakuwa cha kifisadi, kichaka cha mafisadi ama watetezi wa mafisadi.
kwa hiyo fosadi ndani ya chama chenu ni Dofia Simba na Jesca Msavatavangu. kwa hiyo hao mliowafukuza ndo wanahusika na Iptl. songas. meremeta. deepgreen. radar. kivuko kibovu. uuzaji wa nyumba za serikali. importsupport escrow?? nyie mnahangaika na mzimu wa lowasa kuwashinda kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom