nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,859
- 4,873
- Thread starter
- #41
...ni kweli mwanamke ameonesha tabia mbaya kwa mumewe na anastahili kukemewa na hiyo tabia,kulingana na maelezo ya mtoa mada inawezekana kabisa mwanaume akawa ndio chanzo kilichomfanya mwanamke abadilike kitabia,"NOTHING IS STRONG THAN LOVE" hakuna kitu kinachosumbua na kutesa hisia za wengi kama mapenzi,huyo mwanamke nina uhakika 100% anampenda sana mume wake hivyo amejikuta anaingiwa na wivu uliopitiliza mpaka na kuhisi kama anaibiwa penzi lake,kutokana na hiyo tabia ya mwanaume kugonga videmu nje mara kwa mara ingawa sio vya kudumu sasa mwanamke ameshagundua kuwa mume wake anacheat kwenye penzi lao na ndio imempelekea kuwa mkali na mchunguzi,kwangu binafsi ingawa nitapingwa na baadhi ya wadau naona mwanamke at least katumia njia yenye walau kuliko wengine wakigundua hivyo hana haja ya kukuchungachunga na badala yake anaenda kugawa mbunye nje kwa mijianaume tena yenye ugwadu kuliko hata wewe,matokeo yake ni kulea watoto wasio wa kwako na magonjwa ya zinaa sambamba na ukimwi,ningependa sana kumshauri huyo jamaa ajaribu kutuliza akili pia atumie busara zaidi kutatua hili hili tatizo,mimi naliona dogo sana kulingana na mambo ninayoyafahamu na kuyaona hata yakiwatokea wengine,kweli tuko tofauti dunia hii,wenzio wanalalamika wake zao wanaliwa nje kila siku tena wanagawa mpaka TIGO wakati wewe hujawahi kumfanya hivyo halafu wewe unalalamika eti mke wangu ananichunguzachunguza,sasa ulitakata akachunge nani? yaani wewe ukitangaza mtu wa kubadilishana naye mke nina uhakika haipiti sekunde utapata wakubadilshana naye
bro umenena, tena kwa hisia kabisa,,, hata mie nimeanza kuona mwanga,, jana jioni tulienda nae kanisani...n there we talks a lot....he said yaani ni kama dadangu tu, nimejaribu kumweka sawa hakamatiki,,, simu yangu ina matusi...tena karuka mpaka sometimes anamtukana my mom without reason,, or wifi zake,,,frm no were....he cried a lot....but naendelea nae.....he hide something...ntakijua soon....thanx man