nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,859
- 4,873
Wana Jamii wenzangu nina hakika mko poa j3 ya leo.
Wakati natoka home this morning, friend of mine alinipigia akaniomba anipitie ofcn, kuna ushauri alikuwa anataka.
He come,
Alichoniambia na kuomba ushauri ni hiki..... jamaa ana mke na watoto pia,,, bu anasema this day hana HISIA zozote na mkewe,, yaani yuko off kabisa,,, hata wakidoo, anafanya tuu ili kumridhisha,, but yeye anaona kabisa sio busara.
Nilimuuliza nn chanzo....he say kama miezi 4 iliyopita, walikwaruzana sana na mkewe, kisa mkewe akimtuhumu, na sio mara ya kwanza, wana 9yrs kwenye ndoa,, mara nyingi kwa maelezo yake, mkewe amekuwa akimtuhumu bila hata kuwa na ushahidi,,, hata kumtukana mara kibao, kumsemea mbovu, ila jamaa sbb anajiamini, muda wote huo alikuwa anajitetea kwa kusema si kweli,,,then wanatulia,,, ila mkewe haachi,, kitu kdg tuu kikitokea, anaanzisha...kanionyesha matusi ambayo amekuwa akitukanwa for long, toka 2006,, jamaa anasema hajawawi sio kumtusi tuu,, hata kumsemea mbovu.
So on january, he come back from safari, ya kikazi, walisafiri na staff team, in a prvt car....wakati wanarudi, kama kawaida huwa kuna tabia ya kununua matunda na mahitaji mengine ya home,,,kwa wenye familia wanajua.
He arrived home kwake na washkaji, anasema cha ajabu, kwanza mkewe hata hakuja kumpokea, mpaka staff wenzake walipoanza kuuliza shem yu wapi tumpe hii,,, jamaa akaingia ndani na kumwambia wife unasalimiwa...akatoka na kusalimia, then off she go, na staff wakatambaa zao.
ilikuwa ni wkend, so watoto wakaja kumpokea, wakati huo mama kule ndani anapekua begi la husband....huku akinusa nusa kama kitte....ghafla jamaa akaingia, akamuuliza mbona wasarambua nguo zangu hivyo, wife akawasha moto,,, kwani nn,, unaogopa nini....kwa maelezo ya jamaa,, that day ndo alimsemea mbovu mke wake... tabia zako zimenichosha, tena sana,,, mwanamke akamrushia chupa jamaa akakwepa,, hakuwa anataka ugomvi wa silaha,, mkewe akamfuata na kumnasa kibao, jamaa akamwambia piga na huku, she slapped him again....anasema alichomwambia, katika siku utakayojutia maishani mwako ni leo.....sijawahi hata cku 1, kukutusi wala kukunyooshea kidole wacha kukupiga....mimi na wewe basi...its over...
Akamwambia hapa sihitaji shahidi, wala paroko...hii mimi ndie jaji...kukawa na malumbano pale mkewe akiomba talaka, jamaa akamwambia andika barua ipeleke mahakamani tukutane huko....kama ni mali.... kwa taarifa yako zote nimeandika majina ya watoto....so hutuna chetu...nyumba mashamba, magari...akastuka kweli.
So jamaa akaingo kuoga, c wajua alikuwa ndo kafika frm safari....kwanza hamu yote ya nyumbani ilimtoka...alilala kuanzia saa 12 jioni, mpka asubuhi ya cku iliyofuata na kuelekea job.
Matumizi ya home yalikuwa kama kawa, ila na wife ndo stop...hata wife akiandika msg, jamaa haijibu, labda kitu inayohusu kids only....wamekaa kama mwezi, jamaa msimamo wake ni kwamba mimi na wewe basi...wife akaanza kuhangaika sasa, mara kwa mawifi, mara kwa washenga,,, jamaa yeye yuko palepale,,, siwezi ishi haya maisha tena,, hata ukiamua kuondoka na watoto, take them go,, baada ya muda kama 2months akaanza japo kumsalimia,,alikuwa kapata adabu..kawa mdogo... maana bomba la matumizi binafsi lilikatwa kabisa, kumbuka mke alihamia chumba cha watt kwa muda....akaanza kujibaraguza kdg kdg,,, jamaa akaanza kugonga....ila anasema sasa...sio kwa hisia ni kama sijui niseme ni dem fulani tuu alikuzungusha long, then kajiingiza,, unapiga off u go.....
Kajaribu kujituliza akili, kashindwa kabisa,,,mpaka siku nyingine wakidoo,,, anaishia katikati, na kulia kwa uchungu sana...akikumbuka jinsi mkewe alivyomfanyia, anashindwa kurudi kabisa.....inamuuma sana, but roho imegoma kabisa kurudi.....
sasa kapanga kumwambia mkewe ukweli kuwa hana hisia na yeye kabisa, wawalee watoto... basiii.
sikuwa na la kumshauri on that time,,, nikamwambia jioni ntakutafuta tuongee zaidi...na kesha mpigia mkewe kumweleza ana mazungumzo na yeye bfr bed time.....
Na anadai,, tabia ya mke wake kukagua chupi zake daily inamkera mno,,,, kama ni nje hana dem,,, he just eat n run,,,hamiliki kabisa,,, na hiyo hutokea once in a 3 to 6 months...
naomba tushirikiane kumsaidia jamaa, amekata tamaa kabisa....
nawasilisha....