El'son
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 380
- 324
Shabiby aingiza mabasi mapya ya level za MBELE!
Yataanza safari Jumatano hii, Dodoma - DSM. Nauli elfu 35 tu.
Tv kila seat (touch screen) + Headphones, WiFi, kuchimba dawa ndani humo humo na misosi na vinywaji humo humo kwa nauli ile ile ya elfu 35.
Bila kusahau utakutana na warembo na mahandsome wajanja wasiopenda usafiri wa hovyo hovyo, watoto wazuri kutoka UDOM, ST.John, CBE n.k!
Ukiwa mchafu/ msela/mvaa mlegezo, hupandi.
Kapande mascania huko!