Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Kijana katoka kuvuta bangi kaingia nyumbani moja kwa moja mpaka sebuleni kisha akasimama kumwangalia mgeni aliyeketi katika masofa.
Haraka alikwenda jikoni alipo mama yake na kumuuliza.
Baraka:-Mama yule aliyeketi sebuleni ni nani?
Mam:-Una kichaa wewe yule si baba yako.
Baraka:-Aaah kumbe ndiyo mana naona sura yake siyo ngeni.
Haraka alikwenda jikoni alipo mama yake na kumuuliza.
Baraka:-Mama yule aliyeketi sebuleni ni nani?
Mam:-Una kichaa wewe yule si baba yako.
Baraka:-Aaah kumbe ndiyo mana naona sura yake siyo ngeni.