Kwenye domestic flights, routes za Dar - Mwanza ndizo zenye wateja wengi na zinalipa. Mashirika ya Precion air na Fast jet kila moja lina route tatu za Dar- MZA yaani saa 2 asubuhi, saa 6 mchana na saa 2 usiku. Trip za asubuhi na saa 6 ndizo hot cakes zenye wateja wengi na bei yake ni kubwa. Trip ya usiku siyo hot, kwa maana mkazi wa Mwanza kufika Dar usiku kama hana makazi Dar ni usumbufu na gharama zaidi ya usafiri toka airport kwenda kusaka hotel za kulala.
Cha ajabu tangia ATCL waanze kutoa huduma hii wao wameamua kufanya route moja tu ya usiku, tena usiku wa saa 3 na nusu, yaani kufika Dar saa 5 usiku. Zile route nzuri wamewaachia washindani wao. Bei za ATCL ni nusu ya bei za washindani wao, hivyo wakaona waachie hizo route maana washindani wao hawangepata wateja au ingebidi nao wateremshe bei.
Sasa kwa nini wasitumbuliwe?
tumbua hawa mameneja na wakurugenzi atcl. kwanza waziri kasema watumbuliwe sijui ceo anayaogopa nini. ni mapiga dili mazoefu yana hila na ni matajiri labda yanamtisha ceo. kama ceo anayashindwa rais amtumbue tu. hakuna haja kuogopa kutumbua hadi wapatikane watu wenye weledi uadilifu na uzalendo.Kwenye domestic flights, routes za Dar - Mwanza ndizo zenye wateja wengi na zinalipa. Mashirika ya Precion air na Fast jet kila moja lina route tatu za Dar- MZA yaani saa 2 asubuhi, saa 6 mchana na saa 2 usiku. Trip za asubuhi na saa 6 ndizo hot cakes zenye wateja wengi na bei yake ni kubwa. Trip ya usiku siyo hot, kwa maana mkazi wa Mwanza kufika Dar usiku kama hana makazi Dar ni usumbufu na gharama zaidi ya usafiri toka airport kwenda kusaka hotel za kulala.
Cha ajabu tangia ATCL waanze kutoa huduma hii wao wameamua kufanya route moja tu ya usiku, tena usiku wa saa 3 na nusu, yaani kufika Dar saa 5 usiku. Zile route nzuri wamewaachia washindani wao. Bei za ATCL ni nusu ya bei za washindani wao, hivyo wakaona waachie hizo route maana washindani wao hawangepata wateja au ingebidi nao wateremshe bei.
Sasa kwa nini wasitumbuliwe?
Tusafiri wote usiku
Mkuu kusema kweli hata mimi siwaelewi ATCL kwa hii trip ya Mwanza. Ndege moja kwa siku kwenda Mwanza ni shida kubwa. Kama wanapeleka ndege moja tu Mwanza kwa siku ina maana kuna muda mwingi ndege zitakuwa zimepaki ardhini. Biashara ya ndege inataka muda mwingi ndege iwe angani badala ya nchi kavu. Ningekuwa mimi Mwanza ningepeleka ndege hata mara nne kwa siku. Ndege mbili kwa trip za humu nchini zinaweza kufanya kazi kubwa tu kama zitapangiliwa vizuri.Kwenye domestic flights, routes za Dar - Mwanza ndizo zenye wateja wengi na zinalipa. Mashirika ya Precion air na Fast jet kila moja lina route tatu za Dar- MZA yaani saa 2 asubuhi, saa 6 mchana na saa 2 usiku. Trip za asubuhi na saa 6 ndizo hot cakes zenye wateja wengi na bei yake ni kubwa. Trip ya usiku siyo hot, kwa maana mkazi wa Mwanza kufika Dar usiku kama hana makazi Dar ni usumbufu na gharama zaidi ya usafiri toka airport kwenda kusaka hotel za kulala.
Cha ajabu tangia ATCL waanze kutoa huduma hii wao wameamua kufanya route moja tu ya usiku, tena usiku wa saa 3 na nusu, yaani kufika Dar saa 5 usiku. Zile route nzuri wamewaachia washindani wao. Bei za ATCL ni nusu ya bei za washindani wao, hivyo wakaona waachie hizo route maana washindani wao hawangepata wateja au ingebidi nao wateremshe bei.
Sasa kwa nini wasitumbuliwe?
Hata bila kupewa hongo, hivi ukiambiwa uende Mwanza kutoka Dsm ambayo ni safari ya saa nzima hadi saa nzima na nusu kulingana na aina ya ndege halafu ukaambiwa uchague kati ya jet ya Fast Jet, pangaboi kubwa ya Precision Air au pangaboi ya kubanana ya Air Tanzania hata kabla hujaangalia bei ya tiketi utachagua ipi hapo iwapo wewe ni mzoefu wa safari za ndege?Labda uongozi wa ATCL wanapewa mgao na Precision na Fast jet kuwa wasipange ratiba saa 2 na saa 6 .
Kitulo kuna la ziada linatakiwa kufanywa hapo, ukidhani kutumbua ndio solution pekee utatumbua mpaka itafika mahali utajitumbua mwenyeweMagufuli akitumbua viongozi kama hao wafuasi wa Chadema wanalalamika.
Replies za usiku huwa madini tupu labda ni kwakuwa hakuna vurugu kama mchanaHahaha!! Ngoja nijaribu kuwatetea ATCL nione kama italeta maana;
1. Ndege za ATCL hazidaiwi zimelipiwa cash hiyo ni kutokana na Mkuu wa nchi, hivyo nadhan wao wanaona ni sawa tu hata wakipata faida jiti kwa siku inakuwa poa tu.
2. Mkuu wa nchi yeye aliamini kuwa shirika lina tatizo moja tu ukosefu wa ndege hivyo akanunua na hakujua nini hasa niliuwa shirika hilo kwa kuanzia. Hali hii inawafanya hata wafanyakazi wa ATCL waone jukumu lao kubwa ni kuhakikisha uwepo wa ndege na ssio kutengeneza faida.
3. Mkuu wa nchi alishatangaza kuwa serikali yake tajiri imesha order ndege nyingine tatu kama sio nne. Hii inapelekea shirika kutokuwa na changamoto zozote zile kwan vyanzo vya hela ni serikali na sio mtaji waliopewa wa ndege mbili uwafanye waweze kununua ndege nyingine, hivyo basi faida hata ya shs 100 ni kubwa sana kwa shirika kwan wao wanatakiwa tuhakikisha ndege zipo
4. Jingine wao kama wafanyakazi wa shirika wako kwwenye payroll wa serikali hivyo hata wasipotengeneza faida mishahara yao ipo pale pale
5. Pia wakifanya safari nyingi kama mashirika mengine na wakitumia utaratibu wa kukata tiketi kama mashirika mengine halafu wakaja na faida ya milion kadhaa then mkuu yeye akaakwa uzoefu wake akahesabu idadi ya viti mara trip mara mwezi akiamini kila safani ndege inakuwa imejaa huon bado watatumbuliwa? Ndio maana wameweka utaratibu wa log in kuepusha kutumbuliwa na mkanganyiko kama huu
Kwa maana hiyo itakuwa rahisi sana kwa sisi kuwalaumu wafanyakazi wa shirika wakati hatujui lengo la kutoka kwa Mkuu wa nchi ni lipi juu ya shirika, kuna mkakanganyiko flani ukiangalia kiundani. Ni sawa na kukaa hapa na kumlaumu Mkuu wa mkoa wa dar na Arusha wakati wao wanatekeleza tu walio angizwa.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji13] [emoji12] [emoji115]Labda wamepanga trip za usiku kuepuka joto ili ndege za ATCL zisipate pancha wakati wa kutua
Hahahahahahahahahahaha.. SmfhLabda wamepanga trip za usiku kuepuka joto ili ndege za ATCL zisipate pancha wakati wa kutua
Muda huu bila shaka unarudi na 'panga boy' yako kutoka kuwanga..Replies za usiku huwa madini tupu labda ni kwakuwa hakuna vurugu kama mchana
Uchambuzi mzuri sana[emoji115] [emoji106] [emoji123]