Kweli 13 chungu (za kutisha) ambazo huzijui kuhusu Afrika lakini unapaswa kuzijua

Mr What

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
1,177
2,086
img_20170418_005405.jpg


Although Africa is blessed, things just don’t seem to want to go right for us, there are just so many horrifying facts about Africa that someone can’t just help but ask the question.. ‘where did we go wrong’. Below are 13 horrifying facts about Africa that you’d hate to know, but you should.

Horrifying facts about africa


1. Every year more than 170,000 migrants try to go Europe through Libya by boat, And of the 170,000 almost ,000 people will die while trying to make this crossing.



2. The whole of Africa uses less than 3% of the world’s energy, despite having 15% of the world’s population. (The United States alone uses about 19%)

Because of the poor power supply, about 30% of health centres and over a third of primary schools in Africa have to function with no electricity at all.

3. Currently about 391,500,000 people in Sub-Saharan Africa live in poverty, -many even live below $1.50 a day- that’s about 45% of the entire population.
Poverty in sub Saharan africa


4. The African continent is the most ravaged by Malaria.. There were an estimated 214 million cases of malaria worldwide in 2015, and an estimated 438,000 deaths. Approximately 90% of all malaria deaths occur in Africa, this probably can be referred to as the most horrifying fact in Africa.

5. Millions of Africans live their life Without Access To Safe Drinking Water. Or aces to good health clinics.

Horrifying facts about africa


6. Of all people living with HIV in the world more than 78% are in Africa; Also out of the 34 million HIV-positive infected people in Africa, 69% live in sub-Saharan Africa.

hiv-status.jpg


7. In Some parts of Africa, South Africa especially, hiv positive adults rape young girls and children some as young as even five-years-old in the hope of curing their HIV.

There is a belief in South Africa that having sex with a virgin will cure HIV/AIDS.

8. Measles, Malaria and Diarrhea (MMD) are three of the biggest killers of children in Africa and yet all are preventable or can be treated with access to simple, affordable interventions.

9. As an Albino the worst place you can be is in Africa, Southern Africa especially..

Because of the wide-spread belief that albino parts are the best ingredients for making potent charms, Albinos are hunted down and slaughtered for parts

10. Africa has 10% of the world’s oil reserves, 40% of its gold, 80-90% of its chromium and platinum group metals. In addition, Africa has 60% of the world’s uncultivated arable land – Yet Africa is still the most poorest continent.

In the last decade, more than 2 million children have died as a direct result of armed conflict.

11. Children in sub-Saharan Africa are more likely to be labelled a witch and casted out into the streets before the age of 5 than children in anywhere else in the world.

12. Since time immemorial the African continent has always been less prepared than any other to deal with any sort of outbreak whatsoever, and always have to depend on foreign aids whenever an outbreak occur.

13. In 2015, the risk of a child dying before reaching his or her 1st birthday was highest in Africa, 55 per 1,000 live births, which is more than five times higher than in Europe, which has a rate of 10 deaths per 1,000 live births (WHO).
===

TAFSIRI

Ijapokuwa Afrika imebarikiwa katika mambo mbalimbali, kuna ya mambo yanaonekana hayapo sawa. Kuna ukweli mwingi wa kutisha juu ya Afrika ambao mtu anaweza akajiuliza swali.. 'tunakosea wapi?'. Hapo chini kuna uweli 13 wa kutisha juu ya Afrika ambao unaweza kuchukia lakini unapaswa kuujua.

1. Kila mwaka zaidi ya wahamiaji 170,000 wanajaribu kwenda Ulaya kupitia Libya kwa mashua, Na kati yao watu takribani 170,000 ambayo ni sawa sawa na 000 hufa wakiwa katika jaribio hilo.

2. Afrika nzima hutumia chini ya 3% ya nishati ya umeme ulimwenguni, licha ya kuwa na 15% ya idadi ya watu ulimwenguni. (Marekani pekee inatumia karibu 19% za nishati hiyo)

Kutokana na usambazaji duni wa umeme, karibu 30% ya vituo vya afya na zaidi ya theluthi ya Shule za Msingi barani Afrika zinafanya kazi bila umeme kabisa.

3. Hivi sasa karibu watu 391,200,000 wa Kusini mwa Jangwa la Sahara ni maskini, - wengi wao wanaishi chini ya dola $ 1.50 kwa siku- hiyo ni sawa na asilimia 45 ya watu wote.

4. Bara la Afrika ndilo lililoathiriwa zaidi na ugonjwa wa Malaria .. Kulikuwa na wastani wa kesi milioni 214 za wagonjwa wa malaria ulimwenguni kwa mwaka 2015, na wastani wa vifo 438,000. Takriban 90% ya vifo vyote vya ugonjwa wa Malaya hutokea barani Afrika, labda huu unaweza kutajwa kama ukweli wa kutisha zaidi barani Afrika

5. Mamilioni ya Waafrika wanaishi maisha yao Bila Upataji Maji salama ya Kunywa. Pia kumudu huduma bora za kiafya.

6. Kati ya watu wote wanaoishi na VVU ulimwenguni zaidi ya 78% wako Afrika; Pia kati ya watu milioni 34 walioambukizwa VVU barani Afrika, 69% wanaishi katika Kusini mwa Jangwa la Sahara.

7. Katika sehemu zingine za Afrika, hususan Afrika Kusini, watu wazima wenye VVU hubaka wasichana wadogo na watoto wengine wana umri wa miaka mitano wakiamini kuwa wakifanya hivyo watapona UKIMWI.

Kuna imani huko Afrika Kusini kwamba kufanya ngono na bikira kutaponya VVU / UKIMWI.

8. Vipimo, Malaria na kuhara (MMD) ni mambo matatu yanayoongoza kuuwa watoto barani Afrika na bado zote zinazuilika au zinaweza kutibiwa kwa ufikiaji wa huduma rahisi, nafuu.

9. Kama wewe ni albino mahali pabaya kabisa pa kuishi ni barani Afrika hususani maeneo ya kusini mwa Afrika.

Kwa sababu kuna imani iliyoenea kuwa baadhi ya viungo vya albino ni bora zaidi kwa kutengeneza hirizi zenye nguvu, Hivyo watu Maalbino wanawindwa na kuchinjwa kwa lengo la kupata viungo vyao.

10. Afrika ina 10% ya akiba ya mafuta ulimwenguni, 40% ya dhahabu yake, 80-90% ya chromium yake na metali za kikundi cha platinamu. Kwa kuongezea, Afrika ina 60% ya ardhi ambayo haijatumika kuzalishia lakini bado Afrika ndilo bara masikini zaidi.

Katika muongo mmoja uliopita, zaidi ya watoto milioni 2 wamekufa kama matokeo ya moja kwa moja ya vita vya kijeshi.

11. Watoto wa Kusini mwa Jangwa la Sahara wana uwezekano mkubwa wa kuitwa mchawi na kfukuzwa katika mitaa yao kabla hawajafika miaka 5 kuliko watoto mahali pengine popote ulimwenguni.

12. Afrika imekuwa haijiandai kukabiliana na majanga mbalimbali hata yakitangazwa na badala yake majangwa hayo yakiwapata hutegemea misaada kutoka nchi za kigeni.

13. Mnamo mwaka wa 2015, kulikuwa na hatari ya mtoto kufa kabla ya kufikia mwaka wa kwanza baada ya kuzaliwa. kulikuwa kunatokea vifo 55 kwa kila watoto 1000 wanaozaliwa. Idadi hiyo ni mara tano zaidi ya vifo vya watoto barani ulaya ambako ilikadiria vifo 10 kwa kila watoto 1000 wanaozaliwa.
 
Kwa sababu hii korona haileti shida kwa ngozi nyeusi pekee kama ilivyo HIV, ebola na malaria naona wakipalangana nayo sana, ngoja waithibiti kwanza ili tuwakumbushe kuhusu hayo magonjwa ya afrika kwamba nayo yanahitaji kipaumbele cha kutokomezwa
 
most brutish place to be on earth, hosting the hardest hearted humans down the course of evolution...
 
mada hii ukiwaandikia wadhungu wataona kweli Afrika kuna mambo ya kutisha. ila sisi tunaona ya kawaida kabisa wala hakuna la ajabu hapo. Hivi hao wanaokufa maji huwa wanazama kwa bahati mbaya au wanazamishwa na wazungu?
 
Waafrika tuna nyakati zetu za utambuzi na maendeleo 'timeline'.

Hao wazungu walipitia hatua zote za kimaskini, kishenzi, kimaradhi na kila la hovyo unaloliona hapa Afrika.

Huwezi kuona au kusikia wazungu wakielezea wao walivyopitia hizo hatua.

Ni kweli tuna changamoto na mtu angeweza kuuliza kwanini tusi nakili maarifa yaliyopo na kufuatilia kwa karibu maendeleo ya wenzetu?

Ukweli ni kuwa maendeleo yana hatua, yahitaji uvumilivu kumbadili mwafrika. Tutafika wakati wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom