Sasa hapa Charming girl ndio unataka kusemaje?? Kuwa angekuoa wewe asingekuwa mlevi au?pole mamie, mshukuru Mungu kwa kila jambo. songa mbele,huenda kuna kitu umeepushiwa.amini usiamini muda c mrefu utajua ni kwann ilitokea hvo.me mwnywe ishantokea nliachwa na mkaka akaoa mdada mwngne ingawa hakuwa rafk yangu.bas saiv hyo mdada analalamika mumeme mlev,muhuni na hamjali. huyo hakuumbwa kwa ajil yako mdada wako yupo.piga moyo konde japo inauma!
nilikuwa na rafiki yangu tuliependana sana...alikuwa ni kama ndugu yangu..ghafla alinibadilikia na kuanza kunidharau na hata kunituc..cku ya jana niliamua kumuuliza sababu ya mabadiliko yake hayo,alichonijibu nusura nizirai..alisema kuwa niachane na mchumba angu coz yeye ndo anammiliki na wanapendana sana so huwa anachukia ninapokuwa nae ndo maana huwa ananitukana..nilipomtafuta mchumba angu akawa ananikatia cm,nikamtumia text zaid ya tano but hajajibu hata moja...so niko njia panda naombeni mnisaidie....thanx..