Kwaya isitumike kivuli cha uzinzi!!!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Wanakwaya wenzangu
embu naombeni tuache kumcheze mungu..hapa jiran kuna kanisa ambalo limekuwa na malumbano ya wanakwaya kuchapana mara kwa mara na hili likifika kwa mchungaji anawaita wanatuliazwa yanaisha na bayazaidi wale vichwa wazuri wa kupiga vyombo ndio wanawaaribu madada wa kwaya
wapendwa embu acheni kutumia kwaya kama vivuli vya maasi vyenu kuna sehemu nyingi tu kwa nini mkamchezee mungu kama ni mziznzi kwa nini ujifiche kwenye kilindi cha kwaya acha nasema acha tena ushindwe na ulegee na wewe unaefikiria kujiunga kwa ajili hiyo aacha kabisa jiunge kama umeitwa na mungu kufanya hivyo..usiwafate vidosho ama kutafuta mchumba kupitia kwaya
nawatakia wito mwema
 
Wachumba wengi hupatikana kwenye kwaya! Mama Obuntu nilimpata kwenye Kwaya miaka hiyo hapo Mwenge RC - tupo tunadunda sasa ni mika 12.
 
hii ni nzuri sana, lakini tumesahau kuwa hao wanakwaya ni wanajamii kama wanajamii wengine
kikubwa umefanya vizuri kuwakumbusha kuwa waachane na uzinzi wamtumikie zaidi na kucheza kwa ajiri ya Mungu, maana imeeandikwa wazinzi na waasherati, hawataurith ufalme wa Mungu, naam wafiraji, watukanaji, wasengenyaji na wenye tabia zifananazo na hizo gadhabu ya Mungu itatua juu yao
 
kUNA KWAYA MOJA YA MBEYA MJINI WOTE WALIPUKUTIKA KWA NGOMA.
KAZI ILIKUWA KUDUKUANA TU MWANZO MWISHO.
YESU KIDOGO UZINZI SANA
 
kUNA KWAYA MOJA YA MBEYA MJINI WOTE WALIPUKUTIKA KWA NGOMA.
KAZI ILIKUWA KUDUKUANA TU MWANZO MWISHO.
YESU KIDOGO UZINZI SANA

Duuh, hapo penye nyekundu umeniacha hoi, anywway mfano wako unafanana na maafande wa Ruvu JKT kwani nao wengi ni ayomwikee
 
tizo ni UKRISTO wa kichina unaharibu.
Tumpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yetu.Kuitwa jina la kikrsto au kuimba kwaya haimaanishi kuwa ni kristo wa kweli.Ni kutimiza wajibu na kuenenda na 'fasheni'.
Kusema Bwana asifiwe sio sababu.Bible inasema waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache, na sio wote wasemao Bwana Bwana watauona ufalme.
Lakini shika sana ulichonacho,asije mwovu akakupokonya.
 
Wanakwaya wenzangu
embu naombeni tuache kumcheze mungu..hapa jiran kuna kanisa ambalo limekuwa na malumbano ya wanakwaya kuchapana mara kwa mara na hili likifika kwa mchungaji anawaita wanatuliazwa yanaisha na bayazaidi wale vichwa wazuri wa kupiga vyombo ndio wanawaaribu madada wa kwaya
wapendwa embu acheni kutumia kwaya kama vivuli vya maasi vyenu kuna sehemu nyingi tu kwa nini mkamchezee mungu kama ni mziznzi kwa nini ujifiche kwenye kilindi cha kwaya acha nasema acha tena ushindwe na ulegee na wewe unaefikiria kujiunga kwa ajili hiyo aacha kabisa jiunge kama umeitwa na mungu kufanya hivyo..usiwafate vidosho ama kutafuta mchumba kupitia kwaya
nawatakia wito mwema

Mimi kusema ukweli kati ya vikundi ambavyo naviogopa sana hapa duniani ni vya Kwaya. Niko radhi nipate mchumba mnenguaji kutoka Twanga Pepeta au Bar Maid, kuliko kwenye kwaya. Fuatilieni vizuri kwa wale ambao hamjawahi kuchunguza vizuri, naomba muipe "benefit of doubt" hoja yangu kwa sasa ili msiikatae!
 
tizo ni UKRISTO wa kichina unaharibu.
Tumpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yetu.Kuitwa jina la kikrsto au kuimba kwaya haimaanishi kuwa ni kristo wa kweli.Ni kutimiza wajibu na kuenenda na 'fasheni'.
Kusema Bwana asifiwe sio sababu.Bible inasema waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache, na sio wote wasemao Bwana Bwana watauona ufalme.
Lakini shika sana ulichonacho,asije mwovu akakupokonya.
Dah
asante sana Charity
ukweli ni huo tu, watu wengi tumeshindwa kuifisha miili na nafsi kwa mambo ya Mungu,
ili tuenende kwa hofu ya Mungu mioyoni mwetu,

maana imeandikwa atakayeikoa nafsi yake, ataipoteza, na atakaye ipoteza nafsi yake ataiona tena...
maana yake ni nini; nafsi yako inapotamani machafu, iadhibu kwa kuyashinda maovu, hapo umeipoteza.

kuiokoa nafsi yako ni kitendo cha mwanadamu kuikubaria tu kwa kila jambo, mbaya zaidi ni kwamba
nafsi ztu hutamani ya dunia zaidi, kwa vile zinaasili ya duniani, lakini roho hutamani ya Mbinguni kwa vile ina asili ya mbinguni....

ndiyo maandiko yanasema ; kilichozaliwa kwa mwili ni mwili, na kilichozaliwa kwa roho ni roho.

watu tumo kwenye kwaya lakini tumeipeleka miili yetu na nafsi zetu tu, hivyo kuishinda dhambi ni ngumu
kwa sababu roho zetu zimedumaa, hazina neno la Mungu la kutosha ndani, ooooh haleluyaaaa!! lazima tukubari kuichukua sura ya aliye wa mbinguni na
tuikatae ile sura ya aliye wa duniani, wa duniani ni mwili uliyojaa tamaa nyingi,
umejaa husda, umejaa fitna, umejaa uzinzi, umejaa unafiki, n.k

aa nilisahau kumbe nipo jf!
 
Yaani wabongo bwana...........Kuna jamaa aliokoka ili tu apewe mzigo na alipokula mzigo akachapa mwendo watu full usanii........ngono, ngono ngono tuuuuuuuuuu muda wote. Kaaaaaazi kwelikweli
 
i thought ni Chrispin ndo kaanzisha hii thread
Hahahahaha! LOL! Why?

Mi waifu alishanipaga ban la kujiunga na kwaya. Na tangu hapo kipaji changu cha kuimba kimehamia kwenye chupa za bia!!! Namshukuru sana hata hivyo, manake kabla hajanipa ban kuna mabinti wawili walishachapana makonde kwa ajili yangu. :embarrassed:
 
tizo ni UKRISTO wa kichina unaharibu.
Tumpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yetu.Kuitwa jina la kikrsto au kuimba kwaya haimaanishi kuwa ni kristo wa kweli.Ni kutimiza wajibu na kuenenda na 'fasheni'.
Kusema Bwana asifiwe sio sababu.Bible inasema waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache, na sio wote wasemao Bwana Bwana watauona ufalme.
Lakini shika sana ulichonacho,asije mwovu akakupokonya.

lol..... na tulioachwa kwa sababu tu hatujaokoka unaweza kutusaidiaje, coz kuna baadhi ya watu wanaamini kabisa ukilitaja sana jina la muumba wako basi lazima na kwenye mahusiano utakuwa mwaminifu tu
 
Msilaumu bure kwani imeandikwa kuwa 'mtu ula kilicho karibu yake'sasa unataka mwana kwaya akachape/akachapwe na sisi tambala?Pia kumbukeni kuwa kila atangazae injili apate riziki katika injili hiyohiyo,sasa wao kukongomezana tatizo nini?
 
Jamani tusikilizane kidogo tuliangalie hili suhala kwa upana zaidi

unajua ukitaka watoto wa geti kali wanaochungwa na kufundishwa maadili mema wanapatikana church, sasa kwa kuwa binadamu hachungiki akisha pevuka na kanisani ndio sehemu ambayo madingi wanoko wanawaruhusu mabinti zao kwenda bila kipingamizi ndio maana utakuta watu wanakimbilia kwaya ili wapate uhuru wa kuonja TUNDI la kati

hata wale viongozi wa dini wenye uchu nao uwa wanamalizia huko huko kwa wanakwaya. Mie mwenyewe nilipokuwa mafundisho ya kipaimara niliramba kitoto kimoja ila ingawa kilikuwa kidgo lakini nilikuta breki kende kudadeki nilipokihoji kikaniambia kilikuwa kinajiachia na mkata nyasi wao
 
1.Wanakwaya kazi yao ni kumsifu Mungu kwa nyimbo,ni wahubiri hawa,
2.Shetani hataki yeyote asifiwe zaidi yake,hivyo anawachukia wanakwaya kupita maelezo.
3,Kwa ajili hiyo wanakwaya wapata majaribu mengi sana.Kila dakika shetani anazengea awapoteze,
4.Wengi hutumbukia kwenye ngono,wengine kwenye ulevi,na wengine kusengenyana.au kuusema uongozi wa kanisa
5.Wakati fulani pesa za kwaya huliwa na wajanja waliopandwa na pepo.
MUHIMU; Kwa wanakwaya wote ni muhimu kudumu katika maombi wakati wote.
 
Back
Top Bottom