Kwaya isitumike kivuli cha uzinzi!!!!!!

Msilaumu bure kwani imeandikwa kuwa 'mtu ula kilicho karibu yake'sasa unataka mwana kwaya akachape/akachapwe na sisi tambala?Pia kumbukeni kuwa kila atangazae injili apate riziki katika injili hiyohiyo,sasa wao kukongomezana tatizo nini?
mkuu unaonaje nikikuambia USHINDWE????!!!!
 
Mimi kusema ukweli kati ya vikundi ambavyo naviogopa sana hapa duniani ni vya Kwaya. Niko radhi nipate mchumba mnenguaji kutoka Twanga Pepeta au Bar Maid, kuliko kwenye kwaya. Fuatilieni vizuri kwa wale ambao hamjawahi kuchunguza vizuri, naomba muipe "benefit of doubt" hoja yangu kwa sasa ili msiikatae!

You are right, you can say that again! Na ukitaka kutombewa mkeo kirahisi mwache azoeane zoene sana na watu wa kanisani kwao, sijui wazee wa Kanisa, sijui Mchungaji kamwita wana kikao.....!!!! Uzumbukuku wa namna hiyo mimi sitaki kusikia kabisa!
 
Jamani tusikilizane kidogo tuliangalie hili suhala kwa upana zaidi

unajua ukitaka watoto wa geti kali wanaochungwa na kufundishwa maadili mema wanapatikana church, sasa kwa kuwa binadamu hachungiki akisha pevuka na kanisani ndio sehemu ambayo madingi wanoko wanawaruhusu mabinti zao kwenda bila kipingamizi ndio maana utakuta watu wanakimbilia kwaya ili wapate uhuru wa kuonja TUNDI la kati

hata wale viongozi wa dini wenye uchu nao uwa wanamalizia huko huko kwa wanakwaya. Mie mwenyewe nilipokuwa mafundisho ya kipaimara niliramba kitoto kimoja ila ingawa kilikuwa kidgo lakini nilikuta breki kende kudadeki nilipokihoji kikaniambia kilikuwa kinajiachia na mkata nyasi wao


Hata mimi nimejifunzia ngono kwa mtoto wa geti kali aliyekuwa anaimba kwaya, ndicho kilikuwa kisingizio cha kutoka kwao kila siku ya Alhamisi ambayo ndiyo ilikuwa siku ya kufanya mazoezi ya kwaya!
 
Hata makasisi na wachungaji,watawa na waumini wamo ktk hili....mwisho wa yooote ni umaskini na laana tu!!!
 
Back
Top Bottom