kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Mkuu unaendeleaje na Hali ?Kuwa na mwanaume anayekupenda raha sana lakini wakati huo huo hisia zako ni muhimu
Kila la heri, kupanga ni kuchagua
ungemwambia tu hana pesa ili kuepusha usumbufu..Nimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu.
Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa mahusiano lakini naona mwenzangu anashindwa kabisa
Mkuu unaendeleaje na Hali ?
umemwamini?? 😀😀Nimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu.
Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa mahusiano lakini naona mwenzangu anashindwa kabisa
utaishi mkuu , nimefanyaa sala kwa ajili yakoVizuri mkuu
Countdown ya kifo changu inaendelea 😊
Ni tag kwenye huu uzi wako dadaVizuri mkuu
Countdown ya kifo changu inaendelea 😊
Ndiyo nilimuamini lakini siwezi kumpa nafasiumemwamini?? 😀😀
Kwahiyo sisi tukusaidiaje?
Lengo lako la huu uzi ni nini hasa?
Au nakosea kuuliza hivi ndugu wananchi?
Mwambie airudishe ile user name yake ya Wife material.Nilijua tu 😂😂
Kuna mdau alliwahi kuomba tuachane, nikamkubalia kiroho safi. Miaka kadhaa mbele nikiwa nishavuta chombo kingine, yule aliyesema tuachane, anakuja tena. Eti anataka awe mchepuko wangu.Nje ya mada,
Wanaume,naongea na wanaume sio wavulana,never beg for love,Mwanamke akitaka muachane,mkubalie hapo hapo,dakika hiyo hiyo,hata kama alikua anatania,ila wewe fanya iwe kweli,
Kumbembeleza Mwanamke abaki kwako,unaonekana huna option na atakudharau sana,
Mwanamke atampenda na kumuheshimu mwanaume ambaye anajiamini na anaogopa kumkosa coz hua habembelezi,
You should never force or plead for affection, care, or validation
Real relationships and respect flow naturally, and begging compromises your personal dignit.
Ungekuwa Mwanaume tungekushauri muone Red_me vituo vya kukata kengereNimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu.
Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa mahusiano lakini naona mwenzangu anashindwa kabisa
Mwambie airudishe ile user name yake ya Wife material.