Kwaresma wakati wa kufungua hakuna mambo ya Futari wala Daku, unakula chakula cha kawaida tu!

Kwa mujibu wa mchungaji aliyetupaka majivu leo ni kwamba,

Funga ya Kwaresma ni Jumla ya Saa 12 na muda wa kufungua ni Saa 12 jioni

Unapofungulia hakunaga mambo ya Futari wala Daku unakula Chakula cha kawaida tu

Mkazo uko kwenye maombi ya toba na msamaha

Mungu awabariki sana!
Hiyo kufungulia saa 12 jioni ipo kwenye kitabu gani biblia!?..yesu alisemaje kuhusu kufunga na kufungulia!?
 
Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;

ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi
wee mrembo wangu hujui kitu kuhusu dini.nipende Mimi tuu nitakufundishsha sawa?
 
Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;

ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi
Masaa 12 yako wapi hapa!?
 
Mnabumbabumba tu...saa 12 za kufunga ziko wapi!?..wewe funga kuanzia saa Tisa alasiri ukishakula ugali Hadi saa mbili unusu usiku,Kisha fungulia kwa pilau na bia
 
Hahahah Wakatoliki kichekesho!
ETI KAMA UNAKUNYWA BIA 6 KWA SIKU UNAPU GUZA UNAKUNYWA TATU AU NNE, umejitesa kukosa bia at full capacity nayo huesabiwa kuwa ni funga
Bora wao kuliko wanao kula usiku kucha then mchana wanashinda wameshiba wanaigiza wamefunga
 
Kwa mujibu wa mchungaji aliyetupaka majivu leo ni kwamba,

Funga ya Kwaresma ni Jumla ya Saa 12 na muda wa kufungua ni Saa 12 jioni

Unapofungulia hakunaga mambo ya Futari wala Daku unakula Chakula cha kawaida tu

Mkazo uko kwenye maombi ya toba na msamaha

Mungu awabariki sana!
Lete kifungu cha bible kinachosema mfunge kwaresma
 
Embu acha kutetea bhana mnaambiwa ukweli tu kua hamfungi usitake kutufananisha sisi na nyinyi
Wala hatufannani, huwezi kula usiku kucha kama panya alafu mchana unazuga umefunga wakati tumbo limejaa, funga ni kujitesa sio kubadili ratiba ya chakula
 
Wakristo funga yao haieleweki ,kila mmoja anajiamulia anavyotaka, mwingine utakuta chakula anakula kama kawaida ila maji hanywi, mwingine funga yake anakwambia kama mlo wako ulikuwa ni sahani 2 za wali ukifunga utakula sahani moja 🤣🤣🤣

Mwingine funga yake ni kujizuia kufanya mapenzi 😂😂😂.

Dini ya ukanjanja hii ndio maana niliikimbia.
Uko kwenye ile dini ya wavaa kobaaz wanaosoma maandishi kutoka mbele kurudi nyuma?
 
Hata mbususu kama ulikua unachakata mara 3 kwa siku ... Inabidi uchakate mara 1.5 ...
 
Wakristo funga yao haieleweki ,kila mmoja anajiamulia anavyotaka, mwingine utakuta chakula anakula kama kawaida ila maji hanywi, mwingine funga yake anakwambia kama mlo wako ulikuwa ni sahani 2 za wali ukifunga utakula sahani moja

Mwingine funga yake ni kujizuia kufanya mapenzi .

Dini ya ukanjanja hii ndio maana niliikimbia.

Sikuzote watu wenye fikra finyu hawawezi kuwa wakristo.
 
Mnafunga wapi? Wakati kama unakula ugali nusu sasa unakula robo, chai kama kawaida unakunywa ,na 90% hamfungi maana mnashinda bar

Nini maana ya kufunga,ukristo umeelezea vyema kabisa,lengo kuu ni kujutia dhambi kuomba toba na msamaha,kuutesa mwili na kuimarisha roho.
 
Nini maana ya kufunga,ukristo umeelezea vyema kabisa,lengo kuu ni kujutia dhambi kuomba toba na msamaha,kuutesa mwili na kuimarisha roho.
Mbona wengine wakula nusu ugali ,wengine wanakula Kawa kwaida ,wengine hawali kabisa mpaka wanakufa...Wengine ndo wale wanafuturu kama sisi.

Wewe msukuma kweli uache ugali ufunge 😂😂
 
Back
Top Bottom