secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,377
- 43,639
Siku hizi nimekuwa atheist mkuu.Acha mzaha ndugu yangu
Shetani anawapenda sana watu wenye mizaha mizaha
Na mzaha limekuwa ni lango la shetani mda mrefu sana
Mtumish Anza kwenda kanisani sana ndugu yangu
Sifuati mkumbo. Mimi ndiye mkumbo unaofuatwa na wengine.Shaul yako mkuu
Endelea kufuata mkumbo
Pamoja sana mkuu. Nikipata muda nitashiriki nikumbushie enzi.Poa mkuu basi kesho ndo njia ya msalaba
Miaka 19?Takribani 19.
Yeah.Miaka 19?