Ezekiel 18:20-24
Ukisoma hiyo Aya hapo juu utaona ni jinsi gan ilivyo hatari sana juu ya habari ya kutenda dhambi
Kwahiyo unaweza funga kipindi chote cha kwaresma lakin endapo kitaisha na ukarudia dhambi basi bwana atakupiga
Lakini pia unaweza funga siku nzima alafu ikifika jion ukaanza kuvuta sigara na kula ugoro basi tambua kwamba BWANA hataihesabu funga yako yote maana itafutwa na uovu ulioutenda jion
Kumbe basi kipindi hiki cha kwaresma kitusaidie kuacha dhambi
Amina