Sawa Amna shida nyie dini yenu si ni ya haki?Nasikia ruhusa kula mchana kidogo?
Funga ni ya waislam tu, waliobaki wanafanya mchezo wa kuigiza tu
GentlemanPamoja na maelezo, uchambuzi na ufafanuzi mzuri katika hoja ya msingi,
nina maswali madogo mawili ya nyongeza kwa pamoja,
Je,
kwa mwaka huu, kwaresma itaanza lini na Pasaka itakua lini?🐒
Dah tujitaid tufunge jamaniKwa hiyo Alhamisi Kwaresima itaanza rasmi?