Kwapa


NN jamani...
 
Ukipata mwenza mwenye harufu nzuri ya kwapa,ukinusa kidogo tu uko tayari kwa sarakasi,ina raha yake tuko pamoja NN.
 
daaaaaaa hivi ni vituko Nyani Ngabu vip bado unaendelea na tabia hiyooo
 
Aisee mie napenda sehemu ya kiuno tu, naweza nikamfuata nyuma tu
 

that is nonsense in its maximum review
 
Umeshakutana na kwapa lina rangi ya rainbow?


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 



Bado nachunguza ukweli wenyewe ila kwa kuanza tu, ngoja nianze na hawa nione unapagawa kivipi, kisha naomba unipe a true feedback ili nijuwe nianzie wapi.



Naomba uniambie unajisikiaje baada ya kuona hizo nywele. Umepata stimu yeyote?
 
Mhhhhhh!!! hahahahahah lol!!!! Nimecheka kwa kukupiga picha ukiwa busy baada ya kumuona mdada kavaa sleeveless kutaka "kumchungulia" kwapa lake hahahahahah πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚Kuhusu jasho halisi ya mdada ambayo haijachanganyika na perfume kupendwa sana na Wanaume walio wengi hilo ni kweli kabisa. Yaani kuna jasho lingine ukilisikia harufu yake basi huweza kuamsha hisia kali sana na hata kutaka kujirusha naye sehemu za faragha.


 

Salama wewe BAK? Long time usipotee that much
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Nipo salama kabisa Dr namshukuru Mungu, nawe ukoje na uwapendao hawajambo!? Sawa nimekusikia Dr nitajitahidi ili "attendance" yangu jamvini isiwe na doa πŸ™‚πŸ™‚

Salama wewe BAK? Long time usipotee that much
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…