Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,568
Hapana Mkuu... naomba linkDocumentary yao ushaifatlia?
Hapana Mkuu... naomba link
Aisee sio mchezo kweli hawa jamaa walikuwa vizuri.
Aisee sio mchezo kweli hawa jamaa walikuwa vizuri.
11 Check Navyoflow
7 Msafiri
Hiyo track ilikua ya Sos B sidhani kama KU Crew walikua na nyimbo yenye jina hilo labda mimi sijawahi isikia wengine wataleta majibu nadhani..Naitafuta ngoma yao moja inaitwa kukurukakara zako! naipataje hiyo mkuu?
Dah ahsante sana mkuu, nimeitafuta ngoma hii kwa muda mrefu bila mafanikio! Kongole za kutosha!Hiyo track ilikua ya Sos B sidhani kama KU Crew walikua na nyimbo yenye jina hilo labda mimi sijawahi isikia wengine wataleta majibu nadhani..
Link:
Usijali mkuu tena hiyo ni remastered ngoja nikutafutie ile OG yenyew version ya kwanza ingawa haina quality nzuri.Dah ahsante sana mkuu, nimeitafuta ngoma hii kwa muda mrefu bila mafanikio! Kongole za kutosha!
Itakuwa njema sana mkuu..kwenye gallery za watu wengi hawana vitu kama hivi!Usijali mkuu tena hiyo ni remastered ngoja nikutafutie ile OG yenyew version ya kwanza ingawa haina quality nzuri.