SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Drive in Lodge iliyo maeneo ya msata pembezoni kidogo mwa barabara ya Bagamoyo inawakaribisha wasafiri wote mnaolekea tanga,Moshi na Arusha hata chalinze na bagamoyo kwa misosi mitamu itayokupa nguvu ya kuienjoy safari yako. Breakfast Kuna mayai,chai maziwa au chai rangi, maandazi, egg chop na vikorombwezo vingi mchana Kuna chips 2000
Kuku kienyeji robo 6000
Kuku kisasA 5000
Mishikak 1000
Wali nyama 5000
Wali maharage majan 4000 na misosi mengine kibao Kama nyama choma mbuzi na ngombe
Karibuni Sana pia Kuna huduma ya malazi tulivu na Safi eneo ambalo wapenda utulivu wote wanalipendelea