BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,682
- 3,392
Habari wakuu,
Kwa Mara nyingine tena narudi kwenu wana Jf.Nadhan bila kupiteza muda ukipitia post zangu utakuta moja kati ya post hizo nilipost miaka miwili iliyopita,ikiwa na lengo LA kuomba msaada kuhusu safari yangu toka Tz to SA. Shukran sanaKwa msaada wenu.
Nasasa narudi tena kwenu kuomba msaada zaidi wa kuvuka mipaka ya Africa kuelekea Kwa malkia.
Ni kwamba Nina mjomba wangu ambae ni raia wa Uingereza,sasa ktk maongezi nae ameonyesha interest ya Mimi kwenda kule lakini ni mzito sana ktk kufanya michakato.
Sasa nimerudi kwenu ndugu zangu kuomba muongozo wenu wa nianzie wapi na nimalizie wapi ili nifanikiwe kuikanyaga ardhi ya malkia kutafuta maisha zaidi.
Ninahitajika niwe na nini ili iwe rahisi kwangu kuingia nchini England? Nianzie wapi na niishie wapi?
NB:Msaada unaohitajika toka kwake yupo tayari kutoa ushirikiano.
Ahsanteni sana