Kwann CCM wanataka vituo vya kupigia kura ya maoni yawe Magari na nyumba binafsi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Habari na JF,

Kwanini CCM wantaka vituo vya kupigia kura waweke magari hasa sehemu za vijijini, na sehemu za Mjini watumie nyumba za watu binafsi kama vituo vya kupigia kura za maoni ikiwa ni kiashiria hata kura za 2015 itakuwa ivyo ivyo!

Sasa tujadili hili ni kweli wanalengo sahihi ya kuboresha au ndo janja ya kuweka vituo hewa??
 
Tena kura za maoni zisimamiwe na Tume ya taifa ya uchakachuaji according to Lukuvi au Mr standardazation
 
Mkuu it's clear that hawa magamba wanataka kutumbukiza makura yao ya wizi. Umeona wapi juu ya USO huu wa dunia kura ziapigwa kwenye magari na Nyumba za watu binafsi? Serikali Ina majengo ya shule za msingi na mengineyo kila mahali hp nchini. Hicho kitu never labda walazimishe sbb km wanavyosema wao wapo wengi
 
Wakilazimisha dawa iwe ni ileile wapinzani watoke na suluhu ipatikane kwa mkuu wa nchi, vinginevyo maadamano nchi nzima
 
Back
Top Bottom