Tema mate chini ,makuti sio cheap labda kama unaongelea miaka ya 80s.Bar za makuti ziko mikoa ya pwani sababu ya kupunguza madhara ya joto.Makuti ni cheap,temporary,and attractive hakuna sababu ya kuezeka na mabati ya msouth unless unataka uwe unalala hapo baa.
HahahaaaaaaIli msikojoe wala kuminyana kwenye kuta...
Reason ni kupunguza joto, sio baa tu hata mahotel mengi huko Zanzibar kama banglow ni makutiMakuti ni cheap,temporary,and attractive hakuna sababu ya kuezeka na mabati ya msouth unless unataka uwe unalala hapo baa.
Well said mkuu. Mimi mwenyewe najua wanatumia makuti kwa sababu hiyo hiyokupunguza joto,bati zinasafirisha joto kuliko makuti ambayo hayapitishi joto kabisa hivyo hali ya joto kua safi eneo husika