Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Mbowe ni mlafi wa madaraka na asipoangalia uwaziri atausikia chooni

Uwaziri wa wapi? Mbowe anajua fika Lowasa hapati urais ila alikula pesa yake tu na kukubali kuwa timu Lowasa. Mwisho wa siku CHADEMA wala Lowasa hawataunda serikali sasa Mbowe ategemee urais kutoka wapi? Yeye deal yake iliisha alipochuma pesa kutoka kwa anayetafuta urais kwa udi na uvumba.
 
mjinga wa siasa za upinzani wewe!ivi unajua Dr.slaa 2010 alikataa katakata
akalazimishwa na wajumbe ikiwemo kumhakikishia kulindwa kwa masrahi yake ndipo akakubali na hiyo haikuwa kwake tu hadi kwa mboe ile 2005 hali ilikua hivyo hivyo.
Kwa mtu yeyote mwenye akili hawezi kukizarau hata kidogo ACT,chama chenye mda mchache tu na sasa ni chama cha pili kwa kusimamisha wabunge wengi kwenye uchaguzi huu 2015 ikivipuku vyama vyote vya upinzani vilivyo anzishwa takribani miaka 20 na zaidi.

CHADEMA kipo kw miaka ishirini kimeshindwa kuandaa mgombea wa maana hadi mnaenda kuomba makapi kutoka CCM leo unapata wapi ujasiri wa kukisema chama chenye mwaka mmoja tu nusu!?

Aibu kubwa sana hii!
 

Awamu hii uligoma kutangaza nia?
 
Ukitumiwa sana unajisahau, ndio maana hata hizi taasisi nyingine inabidi wamrudie JK pale aliposema "za kuambiwa changanya na zako". Dhambi ya usaliti haimwachi mtu.
 
Ukitumiwa sana unajisahau, ndio maana hata hizi taasisi nyingine inabidi wamrudie JK pale aliposema "za kuambiwa changanya na zako". Dhambi ya usaliti haimwachi mtu.

Mbona lowasa ni msaliti amsemi yaan chadomo mnajitukana wenyewe


Ukitumiwa sana unajisahau, ndio maana hata hizi taasisi nyingine inabidi wamrudie JK pale aliposema "za kuambiwa changanya na zako". Dhambi ya usaliti haimwachi mtu.
 

Unaongelea waraka huu???
 

Attachments


Hili swali nenda kamuulize Dr slaa
 
Kusimamisha wagombea wengi si hoja!!! Je mtashinda ? Au mtaishia kugawa kura tu? Chama chenyewe bendela tu inaonekana kwa tochi, halfu unasema wingi wa wagombea, elewa kwa sasa kuna uhaba wa ajira vijana wanaona ndo fursa hizo tofauti na miaka 20 iliyopita, pili, serikali imeacha kunyanyapaa upinzani ndio maana utaona mwaka huu mwamko umekuwa mkubwa ukilinganisha na 20 yrs ago.
 

weka akiba ya maneno
 
Sipendi sana ushabiki wa siasa lkn naamini zitto is one of the smartest politicians of my time, he comes after Nyerere and Sokoine

Inategemea na uwezo wako wa kufikiri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…