Ndio maana akaamua kuhama jimbo huyo kiongozi mkuu?
Mimi kila nikisema huyu msaliti ni msanii.. Wakubwa wa humu jf wanafuta comment yangu..
kwa nini abadilishane na serukamba mbunge wa ccm?walikubaliana lini na wapi wakati wana itikadi tofauti,ndio maana kwenye mikutano wanamuita ccm Bunataka kujiunga mara ngap na wasio muamin? Nyie endeleen kumkashifu na kumtukana lkn sisi tutaendelea kumuinua kwa kufaham nini amelifanyia na analifanyia taifa hili. hoja ya kusema hata gombea ubunge kg kazn ametekeleza na hii aliahid kutimiza utaratibu wa chama chake cha awal cha kutohudumu nafasi ya uongoz kwa zaid ya vipind viwil mfululizo, huyu n mfuata utaratibu; na pia kwa kua na yeye anaamin katika kubadilishana vijit imemlazmu kuhama jimbo kutokana na katiba kutomruhusu kugombea urais.
Mnamuita msalit kwa kuwa mlikubaliana chin ya sain ya mbowe kuwa wabunge wote wa CDM hawatopokea posho lkn badala yake wote isipokua yeye wakaendelea kujivutia mkwanja wa posho. ZZK kaweka majina hadharan na unaposema n majina ya kihindi unauhakika gan kuwa ndo majina yao halisi?
Huyu Supreme Leader keshajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe. No one can trust him hata angepambanishwa na juha awaye yeyote yule lazima agalagazwe tu.
zitto rudini chadema au haraka hicho chama chako nenda ukawaumekuwa muongomuongo na kinyonga. Mara useme hili;mara ukane lile.umekuwa mwanasiasa mwigizaji kwelikweli.kigoma uliaga ubunge mara mbilimbili. Kiko wapi? Chadema uliapa kuwa wa mwisho kutoka. Kiko wapi? Kwani umepatwa na nini? Umebadilika zitto!
Nasubiri bunge livunjwe ili niwaone wabunge 50 wa ukawa watakohamia act-wazalendo kama ulivyojinadi. Isipokuwa kweli,nitajiunga na wasiokuamini na kukuona msaliti. Juzijuzi hapa umewaita watanzania mwembeyanga uwatajie waficha mabilioni uswisi.nikaona kurejea kwa dr. Slaa wa mwembeyanga aliyetaja mafisadi 11 wa tanzania. Pamoja na mbwembwe zote kwenye vyombo vya habari na magari ya matangazo,hukutaja.ukagawa bahasha yenye majina ya wahindi!
Uko wapi uthubutu wako? Uko wapi ushujaa wako wa buzwagi? Yuko wapi zitto? Sijui umekuwaje. Lakini,chunga sana usije ukawa tapeli!
Mzee tupatupa (kwasasa dodoma)
zitto saa hii anacheza sankororo wala hana habari , nyie bado amewaganda ktk vichwa vyenu kama vya kuku
naona wa mombasa wameisha fanya yaozitto saa hii anacheza sankororo wala hana habari , nyie bado amewaganda ktk vichwa vyenu kama vya kuku
kwa nini abadilishane na serukamba mbunge wa ccm?walikubaliana lini na wapi wakati wana itikadi tofauti,ndio maana kwenye mikutano wanamuita ccm B
Siku hizi hata Le Profeser Kitila ameshtuka anajiweka mguu nje akipata nafasi ni spidi 100.Nadhani ameona wasomi wenzie wamemdharauHuyo ni msaliti tu,na wewe sema utaendelea kumtumikia na familia yako.
Labda tume ya uchaguzi utengeneze jimbo maalum kwa ajili ya aya..tollahDah
Kwahiyo serukamba atagombea wapi?
Au na yeye hagombei tena?
Si angeng'ang'ana
Zitto anafyeka mapori nyinyi mko tu kwenye keyboard mnavipa sugu vidole vyenu.
Nendeni "site", huku mnajisumbua tu
Dah
Kwahiyo serukamba atagombea wapi?
Au na yeye hagombei tena?
Siku hizi hata Le Profeser Kitila ameshtuka anajiweka mguu nje akipata nafasi ni spidi 100.Nadhani ameona wasomi wenzie wamemdharau
Zzk atajuta kama anavyojutia usaliti Aman kabouru,na wengine wengi