Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,429
- 139,486
vipi alitinga na ile minguo yao ya kijani ?
Ninamnukuu Mohamed Mtoi.....''Nilimeetna Zitto kwenye semina ya TACAIDS yeye akiwakilisha CCM mimi nikiwakilishaCHADEMA.
Leo huyu huyu anataka watanzania wamwamini kuwa ni mpinzani,watu wamemnyamaziaasijione ni mshindi ana uchafu mwingi ambao hauna maelezo na ndiyo sababu UKAWAwamesita kumruhusu ajiunge nao kwasababu haeleweki amesimamia upande gani.''
Chanzo: Mohamed Mtoi
kosa la mleta mada ni nini?Uongo mwingine unatia kinyaa sijui huyu mleta mada tumwiteje
Uongo mwingine unatia kinyaa sijui huyu mleta mada tumwiteje
Tangu lini Chama akamtetea Zitto Kabwe?
vipi alitinga na ile minguo yao ya kijani ?
Mods tatizo nini
mada mbili tofauti kabisa jamaa wameunga,hata kama uswahibaWameanza hawa jamaa, swahiba zake na t...
Dah kweli, huyu jamaa msaliti sana. Mtu mbaya kweli kweli kwenye mageuzi ya nchi hii, Simshangai lakini watu wa kigoma ndivyo walivyo. Amemfukuza limbu, akabadili jina la chama, akabadili katiba, ndani ya siku sita akajipa cheo cha uungu wa chama, au nuru kama anavyoita yeye. Inawezekana kweli siku sita tu ndani ya chama unapata cheo kikubwa kuliko wote? Ajabu pia ni mpinzani gani anaondolewa bungeni, wabunge wa ccm wanalia machozi na kuomboleza? Ni mpinzani huyo au mwenzao? Hivi kweli tundu lissu leo afukuzwe bungeni, wabunge wa ccm watalia kwa ajili yake na kuomboleza? Ukipata jibu hilo, utajua zitto ni nani..nimesema sikuaminishwa mkuu nimejionea mwenyewe. Amemsaliti mpaka Limbu muasisi mwenzake WA act wasaliti!