Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Piego achani uongo huu .Zitto anajua Chadema hakufukuzwa , ila Zitto alijiondoa mwenyewe kwa kwenda mahakamani maana katiba yao iko wazi . Sasa unataka kusea kafukuzwa lini na nani ? Jengenu hoja tusome tuelewe si kila mmoja ni mjinga hapa JF

Hata Lowassa nae hakufukuzwa alistaafu.
 
Reactions: 999
Sired yakipuuuz kuliko zote....kako....e ukalale
 
Mimi nasubiri hiyo october ......nina uhakika rangi halisi za watu zitajulikana.
 
mods leo naona wameuonea huruma huu uzi,una bahati mleta uzi ila usirudie tena kuleta uzi kama huu utapigwaBAN shaur yako
 
Hivi kweli wewe Lema sio CCM damu ila unapishana tu na viongozi waliopo madarakani?...
 

Mwakahuu mpaka mtaishiwa yakuandika na bado kijana halumban na wasin jielewa wasiekwenda na wakati, huu simuda wa siasa za chukindugu, wamesema mengi wewe unajirudia tupo na UZALENDO
 
Piego achani uongo huu .Zitto anajua Chadema hakufukuzwa , ila Zitto alijiondoa mwenyewe kwa kwenda mahakamani maana katiba yao iko wazi . Sasa unataka kusea kafukuzwa lini na nani ? Jengenu hoja tusome tuelewe si kila mmoja ni mjinga hapa JF

Kipindi cha fukuto la tuhuma za usaliti member wengi wa CDM hapa jf walikuwa wanamchongea kama sio jushadidia afukuzwe.. hapo wote tunakumbuka!! Wakamchezea rafu ya wazi ya kupitisha maamuzi ktk vikao vya ngazi ya kati kama sio kukaribia ngazi ya juu akakimbilia mahakamani... mnasema kajifukuza!! Haya tuambie mbona wakina Lissu walisherehekea walipoamua kumfukuza kabisaaa... ?? Hiyo unaielezeaje mkuu?
 

Huyu jamaa naye jana Dr. Mengi ametoka kumlalamikia kwny vyombo vya habari kupeleka taarifa za kuhatarisha maisha yake kuwa amekuwa akizoofisha uongozi wa kikwete, leo tena anasimama kuchukua wafuasi wa ccm?

Bado siasa bongo tulio wengi tunazid kuchezewa chenga la macho kiasi cha kutufanya tushindwe kujua nn kilichofichwa nyuma ya pazia.
 

Hao hawawezi kukujibu kaziyao ni kuropoka na kutukana ndo sifakuu,
 

Hivi kutwa nzima usiku kucha hamlali kisha ZITTO ...ZITTO ..
Mnalipwa na Nani . Kwa Hali hii hatakama mtaleta mabaya ya ZITTO.. Mnazidi kujidhalilisha kuwa ni udaku hata Kama ni kweli tume choka
 

dhahabu inavozid kuwekwa kwenye moto mkal ndivo inavozid ng'ara..... mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.... akina lema haya hayakuwakuta na akina kahigi et prof....!!! na kwa taarfa tu mnavotumia nguvu ya ziada kumchafua ZZK ndivo watu wanavozd kumkubal na kuwachukia ninyi kwa roho mbaya mlokua nao raia wamechoka na hujuma zenu dhidi ya ZZK ndio maana kila anakokwenda anapokelewa kama mfalme
 

  • Kwa sababu zote hizo, Kamati Kuu imeazimia ifuatavyo:

    1. Kwamba kuanzia tarehe ya uamuzi wake, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wafukuzwe uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); na

    2. Kwamba, kwa vile Zitto Zuberi Kabwe amekishtaki Chama kinyume na matakwa ya Katiba ya Chama na Kanuni zake, na kwa vile Mahakama Kuu imeamuru vikao vyote vya Chama visijadili wala kuamua suala lolote linalohusu uanachama wa Zitto Zuberi Kabwe, viongozi wa ngazi zote za Chama, wanachama, washabiki na wapenzi wa CHADEMA popote walipo katika nchi yetu na nje ya Tanzania wasishiriki wala kusaidia kwa namna yoyote mikutano yoyote ya nje au ya ndani au shughuli nyingine yoyote ya kisiasa itakayofanywa na Zitto Zuberi Kabwe na mawakala wake kwa jina la CHADEMA.

    --------------------------------


    Dr. Wilbrod P. Slaa


    KATIBU MKUU
    ​



 
Zitto aache huo usanii wake,siasa ameshindwa aende kwenye bongo fleva aimbe chorus.
 
Haijawahi kutokea siku yoyote ambayo Mungu amewahi kumhifadhi mnafiki , huyu kijana atazidi kudhalilika .
 
mkuu kigoma hakuna dhahabu bali kuna migebuka kwa wingi sana .
 
Haijawahi kutokea siku yoyote ambayo Mungu amewahi kumhifadhi mnafiki , huyu kijana atazidi kudhalilika .
mungu wenu Chadema hana nguvu yoyote.Labda ana nguvu ya kuwaingia kina Dr.W.Slaa waoe Wake wengi na kuhonga Ubunge VITI MAALUM.MBOWE yale yale.mungu wenu huo tu ndio uwezo wake ninyi BAVICHA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…