Kwanini Zitto nisikuite msaliti?


Ina maana hayo maneno kiongozi mkuu hakuyasema au kufanya?
 
Ngongo,hongera sana,ila usinisahau kwenye UTUKUFU wako huko ACT.Msalimie sana Mkuu wa ACT,mwambie atueleze tu hizo faranga za kukimbiza mwenge anazipata wapi?Hilo tu...................

Nami namuomba Ngongo aniwekee nafasi ya juu karibu na kiongozi mkubwa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Nami namuomba Ngongo aniwekee nafasi ya juu karibu na kiongozi mkubwa kabisa.

Duh!Itakuwa balaa UTUKUFU utakuwa umejaa sijui tufanyeje.Basi tuamue kugawana nafasi wenyewe Ili Kiongozi Mkuu kabisa apewe taarifa tu.Siunajua Domokrasia inavyofanya kazi.....
 
Last edited by a moderator:
Fikra finyu hutesa mwili
 
...."jihadharini na watu,wanaowajia,wamevaa mavazi ya kondoo,walakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali.Mtawatambua kwa mavazi matunda yao,je,watu huchuma zabibu katika miiba,au tini katika mibaruti?


Vivyohivyo kila mti mwema huzaa matunda,mazuri,na mtu mwovu huzaa matunda mabaya"

Ilikuwa kauli ya Yesu kristo akiwaonya wanafunzi wake dhidi ya watu wanaoonekana wema kumbe maadui wakubwa wa maendeleo yao.
........." nafikiria kugombea kahama,......,
.....nitagombea segerea,Ubungo au Kawe......"

.....sigombei Kigoma kaskazini,nitagombea kigoma mjini.........."

...."nitagombea Urais mwaka 2015....,
...." nitaachana na siasa naenda kufundisha..."

.." Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu,Lakini mwisho wake ni njia za mauti

..."Ageukaye moyoni hushiba njia zake mwenyewe..."
 
Kiongozi mkuu huyo, huyu jamaa hua simuelewi kabisa mimi
 
Zzk is a CDM nightmare now ,kutoka kuitwa msaliti hadi a threat ,mimba zenu zitazaa October 2015
 

WAcha kufuata mtu asie kufata, kwann usijikite kwenye sera na lichamalako kutwa kumuwazia mtu asiena shinda nanyinyi? unajifanya mtoa matamko yenyewe yakipuz tu, siasa za chuki hazipo tena
 
WAcha kufuata mtu asie kufata, kwann usijikite kwenye sera na lichamalako kutwa kumuwazia mtu asiena shinda nanyinyi? unajifanya mtoa matamko yenyewe yakipuz tu, siasa za chuki hazipo tena
Kuna Mtu ametajwa hapo? Jibu hoja tu kama huna kimya nayo nijibu
 
Mbona unaweweseka jibu hoja

Kunahoja gani hapo yakujibu? huu nimuda wa mtanzania kutumia akili yake, kujua pumba na mchele, siasa za chuku,fitina zimepitwa na wakati, watakiwa ujehum kulete mipango na mema ya chamalako na si kuja kuanzisha thread ya kichukichuki mipasho kama taarabu, watu wana sambaza uzalendo wewe unakalia kuunda chuki
 
Zzk is a CDM nightmare now ,kutoka kuitwa msaliti hadi a threat ,mimba zenu zitazaa October 2015


Natarajia hataenda kilimanjaro,maana ni kwa wachaga,
Natarajia hataingiza mchaga kwenye chama cha Act,maana ni wachaga,
Natarajia wakristo atawafurusha Act maana wakristo watakiteka chama,

Natarajia wachagga wote tanzania atawazuia kujiunga na Act, maana wao ni wachagga!
 
Kuna Mtu ametajwa hapo? Jibu hoja tu kama huna kimya nayo nijibu

Sio lazima umtaje mtu, lakin maelezo yako yana mtaja mtu, bado miezi 4 wewe unakalia taarabu halafu ccm wakija kutawala tena mnaanza oh hatumtambui rais, muda ndio huu fanyeni yamaana wacheni kukariri siasa za vijembe zimepitwa na wakati
 



Wewe kweli moto chini,
Nani anayesema Chadema ni chama cha wachagga?,

Ikiwa wafuasi wa chadema( wasaliti) ,waliofukuzwa chadema,walisema saccoss ya wachagga tukieleje chama ambacho kinawapokea?
 

Sasa umesha sema unatarajia yaani wewe pekeyako, sasa hakuna shida endelea kutarajia hivyohivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…