- Sijawahi ona kokote siasa inakofanywa mwanachama wa chama kimoja kwa wakati huohuo ni mwanzilishi wa chama kingine cha siasa, sijawahi.
- Sijawahi kuona mtu anajiunga na chama fulani baada ya siku tano anapewa uongozi mkuu wa chama hicho, sijawahi
- Sijawahi kuona popote siasa inapofanywa, mwenyekiti wa chama yupo chini ya mtu fulani. Yahani kikatiba kabisa kuna mtu yupo juu ya mwenyekiti, hii pia sijawahi kuona.
- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.
- Sijawahi kuona chama cha upinzani kinafadhiliwa na chama tawala kiuchumi na kimikakati. Tumefanya uzinduzi wa chama chako Zuberi kwa gharama kubwa sana, air time ITV, chakula, ukumbi expensive, na mbwembwe nyingi. Lakini mbona hujawahi kuchangisha pesa toka kwa wanachama wako? Kama kuna mtu anachangia ni nani huyo? Mtamlipaje baadae?
- Sijawahi ona chama cha upinzani popote pale siasa inapofanywa, wafuasi wake ni wale wanachama na wafuasi wa chama tawala. Le mutuz, laki si pesa, musa alani n.k, hii nayo sijawahi ona.
Kwa yote hayo juu Zuberi kwa nini nisikuite kwamba wewe ni msaliti halisi wa demokrasia hapa nchini. Kama kweli wewe siyo msaliti mbona hujawahi kujitokeza na kukataa zile namba za simu walizozitoa chama chako cha zamani kuwa zilitumika katika ufisadi? Mbona sijasikia kuikana ile akaunti ya benki wa yule dada kule ujerumani?
UKINIJIBU HAYO KWA UFASHA WEWE KWELI SI MSALITI.
Ni tuhuma nzito, ni maswali mazito ambayo nafikiri kwa sasa sidhani kama ACT wanaweza kujibu- Sijawahi ona kokote siasa inakofanywa mwanachama wa chama kimoja kwa wakati huohuo ni mwanzilishi wa chama kingine cha siasa, sijawahi.
- Sijawahi kuona mtu anajiunga na chama fulani baada ya siku tano anapewa uongozi mkuu wa chama hicho, sijawahi
- Sijawahi kuona popote siasa inapofanywa, mwenyekiti wa chama yupo chini ya mtu fulani. Yahani kikatiba kabisa kuna mtu yupo juu ya mwenyekiti, hii pia sijawahi kuona.
- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.
- Sijawahi kuona chama cha upinzani kinafadhiliwa na chama tawala kiuchumi na kimikakati. Tumefanya uzinduzi wa chama chako Zuberi kwa gharama kubwa sana, air time ITV, chakula, ukumbi expensive, na mbwembwe nyingi. Lakini mbona hujawahi kuchangisha pesa toka kwa wanachama wako? Kama kuna mtu anachangia ni nani huyo? Mtamlipaje baadae?
- Sijawahi ona chama cha upinzani popote pale siasa inapofanywa, wafuasi wake ni wale wanachama na wafuasi wa chama tawala. Le mutuz, laki si pesa, musa alani n.k, hii nayo sijawahi ona.
Kwa yote hayo juu Zuberi kwa nini nisikuite kwamba wewe ni msaliti halisi wa demokrasia hapa nchini. Kama kweli wewe siyo msaliti mbona hujawahi kujitokeza na kukataa zile namba za simu walizozitoa chama chako cha zamani kuwa zilitumika katika ufisadi? Mbona sijasikia kuikana ile akaunti ya benki wa yule dada kule ujerumani?
UKINIJIBU HAYO KWA UFASHA WEWE KWELI SI MSALITI.
Kumuka OTTU jazz "wanaume tumeubwa maeeteso kuhangaika" haya mambo mengine ni fix tu kikubwa watoto waende choo kwanini tudanganyane bwanaaa:juggle:Hakika kwa muda mwingi nilidhani chadema wanamsingizia kwa sababu ya maslahi ya kimadaraka ndani ya chama
Hakuna mtu atakyekujibu uhuo uharo wako, msaliti padre slaa aliyelelewa na ccm sa ivi na yeye anautaka URAHISI, au hujui hilo
Msaliti ameshatoka kwenye chama kuendelea kumfuatilia ni kuonyesha udhaif wenu pambaneni kwa hoja
Hakuna mtu anayemfuata Zitto lakini haki ya kumjadili msaliti,mnafiki,ndumilakuwili ipo pale pale.
Habari za USALITI na UKIBARAKA wa zito hatujaanza kuzisika leo, hii imenifanya nitulie kidogo niunganishe dots za kuali zake..
1. Alipoulizwa kuhusu mawasiliano yake na Jack Zoka, na kupewa pesa na usalama.
ALIJIBU : "naangiliwa mawasliano yangu binafsi"
UKITAFAKARI utaona wazi ALIKWEPA SWALI, hivyo mawasiliano hayo yapo. na amekuwa kipewa pesa na usalama kwa lengo la kuihujumu CHADEMA.
2. Bungeni aliposhutumiwa kuomba na kupewaza ESCROW pesa za kumtibia Mama yake (RIP Mama Shida) .
ALIJIBU : "Nakumbushwa msiba wa mama yangu, tumuache apumzike..."
UKITAFAKARI utaona hakujibu swali husika, alikwepa kwa kujificha kwenye msiba wa Mama yake. HIVYO NI KWELI ALIKULA PESA ZA ESCROW.
3. Yalipowekwa wazi mawasiliano yake ya email na Mwigulu, hata gazeti la MAWIO kuchapisha
ALIJIBU: hayo yamehaliliwa kwa photoshop
UKITAFAKARI, unaona wazi HAKUKANA , wala kulichukulia hatua gazeti..hivyo mawasiliano hayo NI KWELI YAPO.
ZIBA MASIKIO , NA TAFAKARI MWENYEWE ZAIDI UTAMUONA USALITI NA KIBARAKA WA ZITO ULIVYO..
HAKUNA MSALITI ALIYEWAHI KUBAKI SALAMA.