Unajua lini mikakati yake ya usaliti ilianza? Unajua lini alianza kuchukiwa na chama chake na chanzo kilikuwa nini? Kwa mawazo yake na mikakati ya chama chake ingeingilianaje na chama chake cha zamani? Ni lini alikuwa na maono ya kujenga chama cha 'ujamaa'? Wewe! Watch out....we are serious for our nation and its liberation for the second time.
Kakuzibua tena daa!!!kwa kweli leo umenizibua masikio kwa kiasi fulani
Huna haja ya kuwa na hofu basi, maana wewe na mimi ndio wananchi hao, tulia kama ana makosa tutamhukumu tu na kama alionewa waliomuonea tutawahukumu pia.
Ni kwel ana akili sana za kiusaliti kuliko yeyote Tanzania. Kwa usaliti tu, ni balaa
Zitto kila siku anaubomoa utawala wa Kikwete....na ameichachafya kweli Serikali......ona Jaji werema alivyofurahia kuona zitto ameshindwa kesi mahakamani.....ona ngeleja alivyojitetea kwenye baraza La maadili kwa kumchafua zitto......usipoipa akili yako ushabiki ni rahisi kugundua kuwa zitto ni mpinzani wa CCM na sio wa wapinzani
Zitto ni msaliti na mnafiki. Ubunge atausikia kwenye bomba.
Zitto ni msaliti na mnafiki. Ubunge atausikia kwenye bomba.