stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Halafu na ninyi tabia yenu hii ya ubaguzi, Chadema mnaiita ya wachaga wakati mnajua kabisa mnawabunge kule. Ni bora mwaka wachaga waka delete chama chenu ili ijulikane moja kuwa ni chama cha wachaga.
Mbona kuna mikoa mingi tu chadema haina hata diwani na hiyo mikoa haiitwi kwa jina la chama chenu.... Tumbafu kabisa.
- Sijawahi ona kokote siasa inakofanywa mwanachama wa chama kimoja kwa wakati huohuo ni mwanzilishi wa chama kingine cha siasa, sijawahi.
- Sijawahi kuona mtu anajiunga na chama fulani baada ya siku tano anapewa uongozi mkuu wa chama hicho, sijawahi
- Sijawahi kuona popote siasa inapofanywa, mwenyekiti wa chama yupo chini ya mtu fulani. Yahani kikatiba kabisa kuna mtu yupo juu ya mwenyekiti, hii pia sijawahi kuona.
- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.
- Sijawahi kuona chama cha upinzani kinafadhiliwa na chama tawala kiuchumi na kimikakati. Tumefanya uzinduzi wa chama chako Zuberi kwa gharama kubwa sana, air time ITV, chakula, ukumbi expensive, na mbwembwe nyingi. Lakini mbona hujawahi kuchangisha pesa toka kwa wanachama wako? Kama kuna mtu anachangia ni nani huyo? Mtamlipaje baadae?
- Sijawahi ona chama cha upinzani popote pale siasa inapofanywa, wafuasi wake ni wale wanachama na wafuasi wa chama tawala. Le mutuz, laki si pesa, musa alani n.k, hii nayo sijawahi ona.
Kwa yote hayo juu Zuberi kwa nini nisikuite kwamba wewe ni msaliti halisi wa demokrasia hapa nchini. Kama kweli wewe siyo msaliti mbona hujawahi kujitokeza na kukataa zile namba za simu walizozitoa chama chako cha zamani kuwa zilitumika katika ufisadi? Mbona sijasikia kuikana ile akaunti ya benki wa yule dada kule ujerumani?
UKINIJIBU HAYO KWA UFASHA WEWE KWELI SI MSALITI.

Hadi sasa hiki ndicho ninachokiamini mimi.Hakika kwa muda mwingi nilidhani chadema wanamsingizia kwa sababu ya maslahi ya kimadaraka ndani ya chama
Kwa kifupi zito alishajua nn kitamkuta; na chadema walikuwa hawamtaki kitambo;sasa ulitaka afanyaje?
Sisi binadamu huwa tunapenda ukigombana na mtu mfano mke/mume akimuacha mwenzake anataka amuone kachoka kapauka;uanze kujisifu bila ww hawezi kuishi.
Chadema muacheni zito afanye yake na nyinyi jengeni chama;kama ni usaliti upo kwa zito tutaamua sisi wananchi na kama usaliti ni kwenda chama kingine basi wasaliti mnao wengi lema;slaa;lissu maana wote hao hawakuanzia siasa chadema.
Thamani yake imepatikana bei yake inajulikana, ni cheo na fedha. Demokrasia ni neno zuri sana na hali sawia kwa mwanadamu kuishi nayo. Uwezo wa kutambua jema na baya ni utashi na uwezo wa kiakili wa mtu. Tamaa iwe mbaya au nzuri ni maamuzi ya mtu binafsi. Ubinafsi ni roho chafu iliyondani ya binadamu mbaya.
Nchi zenye demokrasia iliyokamaa hushindanisha fikra, Kijana ZZK ameamua kuwa mtaro wa kuibeba CCM wazi wazi na baadhi ya makundi yake kwa kisingizo au jina la dmokrasia.
Wimbi hili litabeba wengi sana kwa imani ya kutaka ubunge, udiwani, na uhuru usio na mipaka ambao ni ukichaa.
Kwa wale ambao ZZK anawataja kuwa watahamia chama chake ni vyema wakaondoka mapema kama ni kweli watuache tujenge chama. CDM tumeweka wazi 2015 sio mwaka wa makapi either in or out now. Kwa ukombozi wa wananchi wanyonge wasaliti ni sumu kubwa sana kuishi nao.
Nyerere aliwahi kusema mke wa mfalme hatakiwi hata kusingiziwa. Muda ya kuishi kama kinyonga umekwisha.
Kwa wale wasiojijua na wanaishi kwa akili za kushikiwa ni vyema wakala kona.
Mwaka 2015 ni mwaka wa mapamabano ya ushindi, ni mwaka ambao watawala wanatumia uwezo wao wote kujilinda dhidi ya nguvu ya umma operation ingia ikulu.
Tupo imara na nguvu ya umma itaibuka mshindi, Fedha za Escrow na rushwa haziwezi kuishinda kweli.
Wananchi tupo vitani na adui anajipanga kila uchao. Pamoja tutashinda.
Hakuna anayemtamani zito hata kwa kuwa mshona bendera ndani ya chama, tunachochukizwa wapenda mageuzi na wazalendo wa kweli ni kuendelea kuwa msaliti wa demokrasia kwa kuendelea kuvibomoa vyama vya upinzani.
Kama yy ni mzalendo kwa nn asiwatete watanzania dhidi ya uzalimu wa ccm?
Thamani yake imepatikana bei yake inajulikana, ni cheo na fedha. Demokrasia ni neno zuri sana na hali sawia kwa mwanadamu kuishi nayo. Uwezo wa kutambua jema na baya ni utashi na uwezo wa kiakili wa mtu. Tamaa iwe mbaya au nzuri ni maamuzi ya mtu binafsi. Ubinafsi ni roho chafu iliyondani ya binadamu mbaya.
Nchi zenye demokrasia iliyokamaa hushindanisha fikra, Kijana ZZK ameamua kuwa mtaro wa kuibeba CCM wazi wazi na baadhi ya makundi yake kwa kisingizo au jina la dmokrasia.
Wimbi hili litabeba wengi sana kwa imani ya kutaka ubunge, udiwani, na uhuru usio na mipaka ambao ni ukichaa.
Kwa wale ambao ZZK anawataja kuwa watahamia chama chake ni vyema wakaondoka mapema kama ni kweli watuache tujenge chama. CDM tumeweka wazi 2015 sio mwaka wa makapi either in or out now. Kwa ukombozi wa wananchi wanyonge wasaliti ni sumu kubwa sana kuishi nao.
Nyerere aliwahi kusema mke wa mfalme hatakiwi hata kusingiziwa. Muda ya kuishi kama kinyonga umekwisha.
Kwa wale wasiojijua na wanaishi kwa akili za kushikiwa ni vyema wakala kona.
Mwaka 2015 ni mwaka wa mapamabano ya ushindi, ni mwaka ambao watawala wanatumia uwezo wao wote kujilinda dhidi ya nguvu ya umma operation ingia ikulu.
Tupo imara na nguvu ya umma itaibuka mshindi, Fedha za Escrow na rushwa haziwezi kuishinda kweli.
Wananchi tupo vitani na adui anajipanga kila uchao. Pamoja tutashinda.
Uongo ukiachwa usemwe mara nyingi huwa ni ukweli.
Zito zuberi kabwe aliitisha press conference mara mbili kuzungumzia sakata lake na chadema. Hakuthubutu kukana haya ninayotaka yajibiwe humu ndani bali anatapatapa kama unavyofanya wewe humu. Kwa hiyo hakusingiziwa ni ukweli alipiga hizo pesa. Alimgawia Kitila, na katibu wa sasa wa ACT.
Amka bro.
Kwa kifupi zito alishajua nn kitamkuta; na chadema walikuwa hawamtaki kitambo;sasa ulitaka afanyaje?
Sisi binadamu huwa tunapenda ukigombana na mtu mfano mke/mume akimuacha mwenzake anataka amuone kachoka kapauka;uanze kujisifu bila ww hawezi kuishi.
Chadema muacheni zito afanye yake na nyinyi jengeni chama;kama ni usaliti upo kwa zito tutaamua sisi wananchi na kama usaliti ni kwenda chama kingine basi wasaliti mnao wengi lema;slaa;lissu maana wote hao hawakuanzia siasa chadema.
Sisi ndiyo wananchi wenyewe na ndiyo tunaomuhukumu msaliti huyu