Kwanini Zayn Malik yuko 'underrated'?

Kwanini Zayn Malik yuko 'underrated'?

angalia views zake za hiyo nyimbo aliyoimba na Taylor swift utadhani ni miujiza.
 
angalia views zake youtube za hiyo nyimbo aliyoimba na Taylor swift utadhani ni miujiza.
 
mimi huyo justin bieber sielewi hata wanachompendea, kama leemiho- korean movie star...
nawaonaga kama wasanii wengine ,tena ma under ground....

Mwenye kujua wanachopendewa anifahamishe, maana hata mvuto naonaga hawana pia.
Binadamu wana chaguzi za ajabu ajabu
 
mimi huyo justin bieber sielewi hata wanachompendea, kama leemiho- korean movie star...
nawaonaga kama wasanii wengine ,tena ma under ground....

Mwenye kujua wanachopendewa anifahamishe, maana hata mvuto naonaga hawana pia.
Huyo bieber anapendwa na visichana vilivyo kwenye Teenage au vidada vya chuo!

Sasa kama haupo kwenye hayo makundi usishangae [emoji1]
 
Amainstream itambeba zaid endapo ataamua kua punga
 
Dogo ndiyo anaanza Muziki hasahasa akiwa nje ya One Direction,
Album katoa moja nayo imefanya vizuri sana lakini tusubiri tuone atafanyaje huko mbele.
Nakumbuka wasanii kama Kelly Rowland walifanya vizuri sana ndani ya kundi lakini hawakufanikiwa sana baada ya kutoka nje. Kifupi mafanikio ndani na nje ya kundi ni tofauti sana: Hivyo ni lazima Zayn tumpe muda ili tujue kama ataendelea kuwa na kasi hii hii.
 
Huyo bieber anapendwa na visichana vilivyo kwenye Teenage au vidada vya chuo!

Sasa kama haupo kwenye hayo makundi usishangae [emoji1]
kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mahaba hayo mimi sinaga[emoji23][emoji23]

nawapenda akina big sean /kendric lamar jidena drake akina fat joe rossay [emoji23][emoji23][emoji23]youngthug usher

hawa akina biba cwaelewagi kabisa....
 
duh!!
 
kwenye billboard huwa anafanya vizuri, coz kuna ule wimbo wake unaitwa 'pillow talk'.. mkali sana yan, ulishika namba moja kwenye billboard hot 100
 
Huyu muhindi zayn yupo vizuri tu. Maybe kwa kuwa ni muingereza . Maybe fan base pia wanachangia. Na umaarufu pia.kwenye one direction walikuwa maarufu tofauti na ukiimba as a solo artist.mfano lile kundi la wa irish westlife lilikuwa moto as a group walivyoimba as a solo umaarufu wao ukapotea
 
WALE WENZAKE WOTE NI WAKAWAIDA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom