Kwanini Zayn Malik yuko 'underrated'?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
Zayn anaimba vizuri kulko Justin Bieber. Ametoa song mpya na Taylor Swift inaitwa I don't wanna live forever ina views chache sana. Kama angekua Justin Bieber views zingekua zaidi ya 200m right now.

Kwanini watu wengne wanakua underrated sana hata kama wanafanya vitu vizuri?
 
I don't wanna live forever bonge moja la ngoma " it's about time akaze tu kama hv collaborations watu watamuelewa 2. Ila anakipaji sana
 
Mbona anafanya vizuri zaidi kwenye chart kuliko hata OD nadhani hata sales zake ziko juu. Pia 2016 alishinda award ambayo OD hawajawahi kushinda. Pia kuna tetesi kwamba baada ya OD kuona mafanikio makubwa ya mwenzao akiwa solo nao wamekuwa busy na solo projects kwa dhana kwamba nao watayapata mafanikio makubwa kama ya Zayn au zaidi.

Hana lolote Zayn. OD ilimbeba
 
Kumbe ndio jamaa wa pillow talk, avute kamba tu, ila kumfikia biba yasiwe malengo yake, maana anaweza ishia umiza kichwa tu.
 
Mbona anafanya vizuri zaidi kwenye chart kuliko hata OD nadhani hata sales zake ziko juu. Pia 2016 alishinda award ambayo OD hawajawahi kushinda. Pia kuna tetesi kwamba baada ya OD kuona mafanikio makubwa ya mwenzao akiwa solo nao wamekuwa busy na solo projects kwa dhana kwamba nao watayapata mafanikio makubwa kama ya Zayn au zaidi.

Naupenda pillow talk japokuwa siku hizi simfeel sana hata wenzie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu akitulia anaweza kuja kuwa mwanamuziki mkali sana atawafunika hao OD kabisa. Ila ana tatizo la kupata hofu kila anapotaka kupanda jukwaani kuwaburudisha wapenzi wake. Performance/Audience anxiety.

Naupenda pillow talk japokuwa siku hizi simfeel sana hata wenzie.
 
kuna song yake ya pillow talk ni bab kubwa huyu jamaa ni mkali ila usimfananishe na justin bieber alie tolewa na Usher USA

Umaarufu sio kuhusu kuimba tu hata swag na social life na watu walio kuzunguka pia, ujue zayn ni Muingereza kwa hiyo kupata kiki USA inabidi atumie nguvu kubwa sana sana na alikua anaenda na Image ya One direction unapotoka kwenye kundi hata kama ulikua mkali sio rahisi sana kuvuma waliweza wachache sana kama Beyonce nk kwa mfano Adele ameaza kuimba 2007 na kutoa ngoma kali sana miaka mingi ila umaarufu ule wa juu kabisa kaanza kupata 2012 na saizi ndio kachukua tuzo kibao za Gramy 2017 kilichomchelewesha ni kile kile kwamba lazima uvume USA sana ndio dunia ikujue.

Time will tell for Zayn
 
mimi huyo justin bieber sielewi hata wanachompendea, kama leemiho- korean movie star...
nawaonaga kama wasanii wengine ,tena ma under ground....

Mwenye kujua wanachopendewa anifahamishe, maana hata mvuto naonaga hawana pia.
 
Usimfananishe Lee Min-ho na vitu vya kijinga aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom