Zayn Malik

Xavi Hernandez Alcantara

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
278
280
YOU AND I. moja kati ya hitsong kali sana kutoka kwa jamaa flani hivi walikuwa wakijiita ONE DIRECTION Kutoka Uingereza Kundi likiwa na vichwa vi5 vinavyojua mziki kweli kweli.


Ni Zayn Malik,Louis Tomlinson,Harry Styles,Niall Horan. wamefanya mziki mkubwa saana..Saana!


Achana na One Direction. Kuna huyu Zayn Malik ambaye ali left one direction na kusimama yeye kama yeye. Na wengine walifanya hivyo pia. Jamaa Anakuja vizuri sana.


Alifanya Dusk till dawn akiwa na Monster SIA. Wanaomfahamu SIA sizani kama kuna swali.


Dusk till dawn ipo na views Bilion 1 huko youtube. kuna ngoma nyingi za Zayn Malik ambazo zimeenda..Mfano I Don't wanna live forever ft Taylor Swift,No Candle no light ft Nick Minaj,Let Me,It You,Wrong,Satisfication n.k




Jamaa anauwezo mkubwa wa kuimba note za juu katika music. Ukiachana na watu kama Justin Biber,The Weeknd..Jamaa ni hatari.


Wangapi tunamfahamu Zayn Malik?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom