Kwanini Zanzibar hakuna Stock Exchange?

Adui wa taifa
Risasi moja ya utosi inakufaa
Adui wa Taifa lipi sasa!! Tanganyika, Zanzibar, au Tanzania? Halafu ni nani huyo mwenye huo ubavu wa kunipiga hiyo risasi moja ya utosi? Wewe, au!!
 

Mimi nimekuuliza makampuni gani ya nje yamekuwa listed katika Dar es Salaam Stock Exchange? Wewe unaniletea ya NYSE. Sababu kubwa ya kampuni kujilist ni kupata access kwa investors. Ili kuzuia ujanja ujanja kampuni inayokuwa listed inatakiwa vitabu vyake viwe audited na kampuni zinazotambuliwa na sehemu ambapo imekuwa listed. Nadhani hiki ni kipengele kilicho washika hao wachina. Bila kufanya hivyo, kampuni hiyo inaweza kufanya magumashi katika hesabu zake ili ionyeshe kuwa inapata faida kumbe sio. Na vile vile kwa sababu mfumo wa kihasibu unatofautiana basi anaweza kuchagua mfumo wa sehemu inayoipendelea.

Kwa kuorodhesha matawi yao, makampuni ya nje yanaepuka haja ya kufungua vitabu vyao vyote kwa wakaguzi wa mahali walipojiandikisha. Ndio maana ni Mbeya Cement iliyokuwa listed DSE na sio Lafarge Holcim. Mpaka sasa sijaona sababu yeyote ya Mbeya Cement kujiandikisha kwenye Zanzibar Stock Exchange kwa sababu hamna investors wa kutosha.

Amandla...
 
Nimeshapata elimu aisee ni kweli haiwezekani kulist kampuni bila kufungua branch kwenye nchi husika ambapo ndio imeamua kuuza hisa zake.

Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…