Kwanini Yesu alipenda kutumia 'tatu' katika kusema na kutenda?

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
403
Reaction score
676
Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu).
Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku alipokuwa duniani.
Hata wakati anawaagiza wanafunzi wake baada ya kufufuka aliwapa kiapo cha Namba 3.
Aliwaambia; Enendeni duniani mkawafanye watu wote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza kwa Jina la BABA na la MWANA na la ROHO MTAKATIFU.
Mifano mbalimbali ifuatayo inaonesha namna gani Yesu alifanya kazi zake akitumia namba 3 katika kusema au katika kutenda.

KATIKA KUTENDA:

1. ALIPOPOTEA, ALIONEKANA HEKALUNI BAADA YA SIKU TATU
Luka 2: 45-46 na walipomkosa, wakarejea Yerusalemu, huku wakimtafuta.
46. Ikawa baada ya siku TATU wakamwona hekaluni ameketi katikati ya waalimu akiwasikiliza na kuwauliza maswali.
2. YESU ALIALIKWA HARUSI YA KANA SIKU YA TATU
Yohana 2: 1. Na siku ya TATU palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya, naye mama yake Yesu alikuwapo. 2. Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.
3.YESU ALIOMBA MARA TATU KABLA YA KUKAMATWA
Mathayo 26: 44. Akawaacha tena (wanafunzi wake), akaenda, akaomba mara ya TATU, akisema maneno yale yale.
4. YESU ALISULIBIWA SAA TATU ASUBUHI, MSALABANI WALIKUWA WATATU
Marko 15: 25. Basi ilikuwa saa TATU, nao wakamsulibisha. 27. Na pamoja naye walisulibisha wanyang'anyi wawili, mmoja mkono wake wa kuume na mmoja mkono wake wa kushoto (walikuwa WATATU).
5.YESU AKIWA MSALABANI GIZA LILIDUMU DUNIANI KWA SAA TATU
Luka 23: 43. Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi. 44. Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda (masaa MATATU).
6. JUU YA MSALABA WA YESU PALIANDIKWA VIBAO KWA LUGHA TATU
Yohana 19: 19. Naye Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI. 20. Basi anwani hiyo waliisoma wengi katika Wayahudi; maana mahali pale aliposulibiwa Yesu palikuwa karibu na mji; nayo iliandikwa kwa Kiebrania na Kirumi na Kiyunani (lugha tatu).
7. YESU ALIPANDA MLIMANI NA WANAFUNZI WAKE WATATU
Mathayo 17: 1. Na baada ya siku sita Yesu akawatwaa Petro na Yakobo na Yohana nduguye (WATATU), akawaleta juu ya mlima mrefu faraghani;
2. akageuka sura yake mbele yao; uso wake ukang'aa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru. 3. Na tazama, wakatokewa na Musa na Eliya, wakizungumza naye.
8. PETRO ALITAKA KUJENGA VIBADA VITATU
4. Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda VITATU, kimoja chako wewe na kimoja cha Musa na kimoja cha Eliya.
9. PILATO ALIWAULIZA MARA TATU WAYAHUDI KUHUSU YESU
Luka 23:20. Basi Pilato alisema nao mara ya pili, kwa vile alivyotaka kumfungua Yesu.
21. Lakini wakapiga kelele, wakisema, Msulibishe. Msulibishe.
22. Akawaambia mara ya TATU, Kwa sababu gani? Huyu ametenda uovu gani? Sikuona kwake hata neno lipasalo kufa. Basi nikiisha kumrudi nitamfungua. 23. Lakini wakatoa sauti zao kwa nguvu sana, wakitaka asulibiwe. Sauti zao zikashinda.
10. YESU BAADA YA KUFUFUKA ALIONANA NA WANAFUNZI WAKE MARA TATU
Yohana 21: 13. Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na samaki vivyo hivyo. 14. Hiyo ndiyo mara ya TATU ya Yesu kuonekana na wanafunzi wake baada ya kufufuka katika wafu.
11. YESU AMKWAZA PETRO KWA KUMUULIZA ANAMPENDA MARA TATU
Yohana 21: 17. (Yesu) akamwambia (Petro) mara ya TATU: "Simoni wa Yohana, wanipenda?" Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya TATU, Wanipenda?

KATIKA KUSEMA:

12. YESU ALIWAHURUMIA WATU KISHINDA NJAA SIKU TATU
MATHAYO 15: 32. Yesu akawaita wanafunzi wake, akasema: "Nawahurumia mkutano, kwa kuwa yapata siku TATU wamekaa pamoja nami, wala hawana kitu cha kula...
13. YESU AANIKA WAZI ATAKAVYOFUFUKA SIKU YA TATU
Mathayo 16: 21. Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani na waandishi na kuuawa na siku ya TATU kufufuka.
14. YESU AFUNDISHA JINSI YA KUBATIZA KWA MAJINA MATATU
MATHAYO 28: 18-19.Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia: "Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la BABA (1), na MWANA (2), na ROHO MTAKATIFU (3).
15. YESU AZUNGUMZIA YONA KUKAA SIKU TATU KWENYE TUMBO LA SAMAKI
Mathayo 12: 39. Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona.
40. Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku TATU mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku TATU mchana na usiku katika moyo wa nchi.
16. YESU AMTABIRIA PETRO KUMKANA MARA TATU
Mathayo 26: 34. Yesu akamwambia (Petro): "Amin, nakuambia wewe, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara TATU."
17. USHAHIDI WA YESU KULIVUNJA HEKALU KWA SIKU TATU
Mathayo 26: 61. Hata baadaye wawili wakatokea, wakasema, Huyu alisema naweza kulivunja hekalu la Mungu na kulijenga kwa siku TATU.
18. YESU ATOA MFANO WA RAFIKI ALIYETAKA KUKOPA MIKATE MATATU
Luka 11: 5. Akawaambia: "Ni nani kwenu aliye na rafiki, akamwendea usiku wa manane na kumwambia: "Rafiki yangu nikopeshe mikate mi-TATU...
19. YESU ATHIBITISHA KUKUFUKA SIKU YA TATU
Luka 13: 32. Akawaambia: "Nendeni mkamwambie yule mbweha (mtawala), Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya TATU nakamilika."
20. YESU ATOA MFANO WA MTUMWA WA TATU
Luka 20: 9. Akaanza kuwaambia watu mfano huu: "Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu...Na wakati wa mavuno alituma mtumwa wakampiga wakamfukuza mikono mitupu...Akatuma na mtumwa mwingine. Wakampiga...Akamtuma na wa TATU..."
21. YESU ATOA MFANO WA WATU WATATU NANI NI MTENDA MEMA?
Luka 10: 30. Yesu akasema, Mtu mmoja alishuka toka Yerusalemu kwenda Yeriko, akaangukia kati ya wanyang'anyi; wakamvua nguo, wakamtia jeraha, wakaenda zao, wakimwacha karibu ya kufa.
31. Kwa nasibu kuhani mmoja alishuka kwa njia ile; na alipomwona alipita kando.
32. Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando. 33. Lakini, Msamaria mmoja katika kusafiri kwake alifika hapo alipo; na alipomwona alimhurumia, 34. akakaribia, akamfunga jeraha zake, akizitia mafuta na divai; akampandisha juu ya mnyama wake, akampeleka mpaka nyumba ya wageni, akamtunza. 35. Hata siku ya pili akatoa dinari mbili, akampa mwenye nyumba ya wageni, akisema, Mtunze huyu, na cho chote utakachogharimiwa zaidi, mimi nitakaporudi nitakulipa.
36. Waonaje wewe, katika hao WATATU, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang'anyi?
22. YESU AZUNGUMZIA KUJENGA HEKALU KWA SIKU TATU
Yohana 2: 19. Yesu akajibu, akawaambia: "Livunjeni hekalu hili, nami katika siku TATU nitalisimamisha. 20. Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa katika muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku TATU?
23. KABURI LA YESU ILIAMRIWA LILINDWE SALAMA KWA SIKU TATU
Mathayo 27: 62. Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato, 63. wakasema, Bwana, tumekumbuka kwamba yule mjanja alisema, alipokuwa akali hai, Baada ya siku TATU nitafufuka.

***Katika kupitia haya, nimefikiri sana na kuona ni vyema nishirikishe wengine wanaweza wakajua sababu.
 
Hoja kwamba Yesu kutumia namba 3 (tatu) ina maana aliunga mkono fundisho la Utatu Mtakatifu (Trinity) si ya kweli kimaandiko wala kihistoria. Hapa chini ni majibu yenye msingi wa Biblia na mantiki:

1. Kutaja namba tatu si ushahidi wa Utatu
Yesu kutaja Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu (Mathayo 28:19) haimaanishi wao ni Mungu mmoja katika nafsi tatu.

Biblia haina mahali Yesu alisema "Hawa watatu ni Mungu mmoja." Kwa hivyo, kutaja majina matatu hakuleti fundisho la Utatu kiotomatiki. Mfano:
Paulo aliwataja watu wengi kwa mpigo (1 Wakorintho 12:4-6), je hiyo inamaanisha wote ni mmoja?

2. Yesu mwenyewe alimsujudia na kumtii Mungu Yesu aliomba kwa Mungu (Luka 6:12), hakuwahi kusema “niabuduni mimi” au “mimi ni Mungu.” Badala yake alisema:

Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."

Hapa Yesu *anafanya tofauti wazi kati ya Mungu (Baba) na yeye mwenyewe kama aliye “mtumwa” au mjumbe.

3. Fundisho la Utatu halipo hata kwa mitume wa Yesu
Mitume wa Yesu hawakuwahi kufundisha Utatu. Katika Kitabu cha Matendo ya Mitume (ambacho kinaonyesha maisha ya Kanisa la kwanza), hakuna mahali walibandika fundisho la Mungu kuwa watatu kwa umoja.

4. Utatu ni fundisho la baadaye, si la Yesu lilianzishwa na Paulo.
 
Fundisho la Trinity lililetwa rasmi kwenye Baraza la Nikea mwaka 325 BK, miaka 300 baada ya Yesu. Hii inaonyesha halikuwa fundisho la awali, bali la kisiasa na kifalsafa lililotungwa na wanadamu.

Kutumia namba 3 ni jambo la kawaida – si ki-Mungu
Katika Biblia namba 3 hutumika kwa maana ya ukamilifu au ushahidi:
  • Petro alimkana Yesu mara 3
  • Yesu alifufuka siku ya 3
  • Paulo aliomba mara 3
Lakini hiyo haithibitishi kuwa kuna “mungu watatu.” Ni mtindo wa fasihi ya Kiebrania - si fundisho la kidini.
Hitimisho.

Yesu kutumia namba 3 katika matamko au matendo "hakuthibitishi Utatu" Aliwaelekeza watu kwa Mungu mmoja wa kweli (Yohana 17:3)*, na hakuwahi kufundisha Mungu ni nafsi 3 katika mmoja. "Trinity ni fundisho la baadaye" ambalo halikufundishwa na Yesu wala mitume wake.

Rejea za kuzingatia:

  • Mathayo 28:19 (kisha ulinganishe na Matendo 2:38)
  • Yohana 17:3
  • Luka 6:12
  • Matendo 4:24 (sala kwa Mungu mmoja)

Kwa hivyo, kutumia namba tatu haimaanishi Trinity. Ni tafsiri isiyo ya kimaandiko wala kihistoria.
 
Asante sana mkuu
 
Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu).
Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku alipokuwa duniani.
Hata wakati anawaagiza wanafunzi wake baada ya kufufuka aliwapa kiapo cha Namba 3.
Aliwaambia; Enendeni duniani mkawafanye watu wote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza kwa Jina la BABA na la MWANA na la ROHO MTAKATIFU.
Mifano mbalimbali ifuatayo inaonesha namna gani Yesu alifanya kazi zake akitumia namba 3 katika kusema au katika kutenda.

KATIKA KUTENDA:

1. ALIPOPOTEA, ALIONEKANA HEKALUNI BAADA YA SIKU TATU
Luka 2: 45-46 na walipomkosa, wakarejea Yerusalemu, huku wakimtafuta.
46. Ikawa baada ya siku TATU wakamwona hekaluni ameketi katikati ya waalimu akiwasikiliza na kuwauliza maswali.
2. YESU ALIALIKWA HARUSI YA KANA SIKU YA TATU
Yohana 2: 1. Na siku ya TATU palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya, naye mama yake Yesu alikuwapo. 2. Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.
3.YESU ALIOMBA MARA TATU KABLA YA KUKAMATWA
Mathayo 26: 44. Akawaacha tena (wanafunzi wake), akaenda, akaomba mara ya TATU, akisema maneno yale yale.
4. YESU ALISULIBIWA SAA TATU ASUBUHI, MSALABANI WALIKUWA WATATU
Marko 15: 25. Basi ilikuwa saa TATU, nao wakamsulibisha. 27. Na pamoja naye walisulibisha wanyang'anyi wawili, mmoja mkono wake wa kuume na mmoja mkono wake wa kushoto (walikuwa WATATU).
5.YESU AKIWA MSALABANI GIZA LILIDUMU DUNIANI KWA SAA TATU
Luka 23: 43. Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi. 44. Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda (masaa MATATU).
6. JUU YA MSALABA WA YESU PALIANDIKWA VIBAO KWA LUGHA TATU
Yohana 19: 19. Naye Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI. 20. Basi anwani hiyo waliisoma wengi katika Wayahudi; maana mahali pale aliposulibiwa Yesu palikuwa karibu na mji; nayo iliandikwa kwa Kiebrania na Kirumi na Kiyunani (lugha tatu).
7. YESU ALIPANDA MLIMANI NA WANAFUNZI WAKE WATATU
Mathayo 17: 1. Na baada ya siku sita Yesu akawatwaa Petro na Yakobo na Yohana nduguye (WATATU), akawaleta juu ya mlima mrefu faraghani;
2. akageuka sura yake mbele yao; uso wake ukang'aa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru. 3. Na tazama, wakatokewa na Musa na Eliya, wakizungumza naye.
8. PETRO ALITAKA KUJENGA VIBADA VITATU
4. Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda VITATU, kimoja chako wewe na kimoja cha Musa na kimoja cha Eliya.
9. PILATO ALIWAULIZA MARA TATU WAYAHUDI KUHUSU YESU
Luka 23:20. Basi Pilato alisema nao mara ya pili, kwa vile alivyotaka kumfungua Yesu.
21. Lakini wakapiga kelele, wakisema, Msulibishe. Msulibishe.
22. Akawaambia mara ya TATU, Kwa sababu gani? Huyu ametenda uovu gani? Sikuona kwake hata neno lipasalo kufa. Basi nikiisha kumrudi nitamfungua. 23. Lakini wakatoa sauti zao kwa nguvu sana, wakitaka asulibiwe. Sauti zao zikashinda.
10. YESU BAADA YA KUFUFUKA ALIONANA NA WANAFUNZI WAKE MARA TATU
Yohana 21: 13. Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na samaki vivyo hivyo. 14. Hiyo ndiyo mara ya TATU ya Yesu kuonekana na wanafunzi wake baada ya kufufuka katika wafu.
11. YESU AMKWAZA PETRO KWA KUMUULIZA ANAMPENDA MARA TATU
Yohana 21: 17. (Yesu) akamwambia (Petro) mara ya TATU: "Simoni wa Yohana, wanipenda?" Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya TATU, Wanipenda?

KATIKA KUSEMA:

12. YESU ALIWAHURUMIA WATU KISHINDA NJAA SIKU TATU
MATHAYO 15: 32. Yesu akawaita wanafunzi wake, akasema: "Nawahurumia mkutano, kwa kuwa yapata siku TATU wamekaa pamoja nami, wala hawana kitu cha kula...
13. YESU AANIKA WAZI ATAKAVYOFUFUKA SIKU YA TATU
Mathayo 16: 21. Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani na waandishi na kuuawa na siku ya TATU kufufuka.
14. YESU AFUNDISHA JINSI YA KUBATIZA KWA MAJINA MATATU
MATHAYO 28: 18-19.Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia: "Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la BABA (1), na MWANA (2), na ROHO MTAKATIFU (3).
15. YESU AZUNGUMZIA YONA KUKAA SIKU TATU KWENYE TUMBO LA SAMAKI
Mathayo 12: 39. Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona.
40. Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku TATU mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku TATU mchana na usiku katika moyo wa nchi.
16. YESU AMTABIRIA PETRO KUMKANA MARA TATU
Mathayo 26: 34. Yesu akamwambia (Petro): "Amin, nakuambia wewe, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara TATU."
17. USHAHIDI WA YESU KULIVUNJA HEKALU KWA SIKU TATU
Mathayo 26: 61. Hata baadaye wawili wakatokea, wakasema, Huyu alisema naweza kulivunja hekalu la Mungu na kulijenga kwa siku TATU.
18. YESU ATOA MFANO WA RAFIKI ALIYETAKA KUKOPA MIKATE MATATU
Luka 11: 5. Akawaambia: "Ni nani kwenu aliye na rafiki, akamwendea usiku wa manane na kumwambia: "Rafiki yangu nikopeshe mikate mi-TATU...
19. YESU ATHIBITISHA KUKUFUKA SIKU YA TATU
Luka 13: 32. Akawaambia: "Nendeni mkamwambie yule mbweha (mtawala), Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya TATU nakamilika."
20. YESU ATOA MFANO WA MTUMWA WA TATU
Luka 20: 9. Akaanza kuwaambia watu mfano huu: "Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu...Na wakati wa mavuno alituma mtumwa wakampiga wakamfukuza mikono mitupu...Akatuma na mtumwa mwingine. Wakampiga...Akamtuma na wa TATU..."
21. YESU ATOA MFANO WA WATU WATATU NANI NI MTENDA MEMA?
Luka 10: 30. Yesu akasema, Mtu mmoja alishuka toka Yerusalemu kwenda Yeriko, akaangukia kati ya wanyang'anyi; wakamvua nguo, wakamtia jeraha, wakaenda zao, wakimwacha karibu ya kufa.
31. Kwa nasibu kuhani mmoja alishuka kwa njia ile; na alipomwona alipita kando.
32. Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando. 33. Lakini, Msamaria mmoja katika kusafiri kwake alifika hapo alipo; na alipomwona alimhurumia, 34. akakaribia, akamfunga jeraha zake, akizitia mafuta na divai; akampandisha juu ya mnyama wake, akampeleka mpaka nyumba ya wageni, akamtunza. 35. Hata siku ya pili akatoa dinari mbili, akampa mwenye nyumba ya wageni, akisema, Mtunze huyu, na cho chote utakachogharimiwa zaidi, mimi nitakaporudi nitakulipa.
36. Waonaje wewe, katika hao WATATU, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang'anyi?
22. YESU AZUNGUMZIA KUJENGA HEKALU KWA SIKU TATU
Yohana 2: 19. Yesu akajibu, akawaambia: "Livunjeni hekalu hili, nami katika siku TATU nitalisimamisha. 20. Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa katika muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku TATU?
23. KABURI LA YESU ILIAMRIWA LILINDWE SALAMA KWA SIKU TATU
Mathayo 27: 62. Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato, 63. wakasema, Bwana, tumekumbuka kwamba yule mjanja alisema, alipokuwa akali hai, Baada ya siku TATU nitafufuka.

***Katika kupitia haya, nimefikiri sana na kuona ni vyema nishirikishe wengine wanaweza wakajua sababu.
Na ukiangalia Kila kwenye tatu hapa huwa kuna nne ya ukamilisho(au ya mwendo)

Kwahiyo Kila kwenye moja kati ya tatu na ile moja ya ukamilisho ni mamlaka au nguvu za uumbaji na ndio maana kumi na mbili ukiigawa kwa tatu utapata nne, tatu za ukamilisho moja ya mwendo(nazungumzia wale wanafunzi)

Ila pia Dunia huwa iko na majira yaliyogawanyika katika mafungu hayo hayo ili kuleta utimilifu kwenye mwaka.

Lakini pia kwenye utimilifu wa vitu hugawanywa kwenye dozen yenye mpangilio huo huo mara nyingi.

Kwahiyo hilo sio jambo la bahati mbaya bali ni jambo la asili ya uumbaji wa ulimwengu.
 
Back
Top Bottom