Kwanini X-wangu

Kwanini X-wangu

Acha kupenda husipopendwa......utaumizwa tena na tena.Huwezi kumuacha kwani ndo aliyekutoa bikra???na hata kama wanaume kibao labda kama hujiamini

Mhhhhh Mimi mbna Bado unaning'ang'ania?
 
Jamani naomba nisaidieni maana bado nampenda x wangu na hali inavyoonesha kama amesha move on, moyo wangu unakataa kumove on kila nikijaribu kumsahau nashindwa.


Kamteke au mrushie mabomu mkose wote.
 
Zoezi gumu kama ulimpa 100% na kama huyo alikuwa ni wa pili ama wa tatu maana unakuwa unajiuliza nitaishi maisha ya namna hii mpaka lini lakini sometime inabidi ukubali matokeo tu kama asipoonyesha dalili kurudi kwani mahusiano tunayopitia mengine huwa ni maandalizi ya kuelekea sehemu bora zaidi kwani yale mabaya yote uliyoyaona yachukue kama mafundisho na usiyaangalie kwa ubaya wake kwani duniani mambo yote yanayotokea ni mazuri tu pamoja na kwamba mengine yanaumiza lakini mwisho wa siku kuna kitu umejifunza. (na ndio maana kila kukiwa na tatizo watu huwaona wazee si kwamba umri ukienda akili zinaongezeka bali walipambana na changamoto nyingi katika maisha maana wewe unaweza ukaona ni tatizo kubwa kumbe kuna mwingine alishapigwa vibuti vya namna hiyo hata vinne lakini mwisho wa siku yupo kwenye maisha ya furaha)
 
Back
Top Bottom