Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Pole ilikuwaje akakumwaga?
Correction, Ilikuwaje nikammwaga?
Pole ilikuwaje akakumwaga?
Acha kupenda husipopendwa......utaumizwa tena na tena.Huwezi kumuacha kwani ndo aliyekutoa bikra???na hata kama wanaume kibao labda kama hujiamini
Acha kupenda husipopendwa......utaumizwa tena na tena.Huwezi kumuacha kwani ndo aliyekutoa bikra???na hata kama wanaume kibao labda kama hujiamini
wahanga wa hili tatizo ni wengi
msaidie tu
Pole ilikuwaje akakumwaga?
Napata taabu kidogo nikiambiwa kuwa tumeumbwa kwa mfano wa Mungu! Sijui ana sura gani huyu mkuu sana asiyeonekana!