Jamani naomba nisaidieni maana bado nampenda x wangu na hali inavyoonesha kama amesha move on, moyo wangu unakataa kumove on kila nikijaribu kumsahau nashindwa.
Msamehe bure he is in troubleHizi thread za feeling za ma x wenu tushazichoka,embu jaribu kupekenyua thread za nyuma utapata kujua ushauri waliopewa wenzako wafanye nini katika hali kama hiyo,natumia simu ningekuwekea link.
Jamani naomba nisaidieni maana bado nampenda x wangu na hali inavyoonesha kama amesha move on, moyo wangu unakataa kumove on kila nikijaribu kumsahau nashindwa.
Hizi thread za feeling za ma x wenu tushazichoka,embu jaribu kupekenyua thread za nyuma utapata kujua ushauri waliopewa wenzako wafanye nini katika hali kama hiyo,natumia simu ningekuwekea link.
Pole.
Move on,ni ngumu ila inawezekana.
Jamani naomba nisaidieni maana bado nampenda x wangu na hali inavyoonesha kama amesha move on, moyo wangu unakataa kumove on kila nikijaribu kumsahau nashindwa.
Msamehe bure he is in trouble
wahanga wa hili tatizo ni wengi
msaidie tu
We ulishaweza au unamdanganya mwenzio?
Mie nishapangusa vumbi,nasonga tu sasa.