Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,082
Waungwana swali langu kama lilivyo juu ya kichwa cha habari ni kutaka kufahamu juu ya hilo kumekua Na matukio mengi ya watu kupata hasara za majanga ya moto kama vile watu kuunguliwa nyumba zao pamoja Na maduka Na masoko pia
ila tatizo ni pale panapotokea ajali ya moto Na kukosa zima moto wengi huishia kuangalia tu tukio Na moto unavyoteketeza Mali. ndipo napofikia hasa kujiuliza hivi zima moto moja thamani yake ni sh.ngapi?