shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,320
Jibu lipo hapaNajua wangeweka number yoyote pia ningehoji na hata sasa wakibadilisha na kuwa 556 bado pia nitahoji.
JF ya wabobezi mtusaidie kuna siri gani iliyo nyuma ya number hii ya 256?.
Jiunge na TelegramAseh wangeongeza hadi 1000 hivi
namba yoyote 0-255 (inclusive) ina byte moja, byte moja siyo 256256 ni idadi kwenye byte moja
Elimu ya kukariri ina madhara sana; kwa hiyo wewe huamini kuwa namba 0 inatumika katika kujaza idadi ya byte moja. Digital counting huanzia 0, wakati natural counting huanzaia 1; yaani hujui fact hiyo?namba yoyote 0-255 (inclusive) ina byte moja, byte moja siyo 256
hoja yangu ipo hapa "256 ni idadi kwenye byte moja"Elimu ya kukariri ina madhara sana; kwa hiyo wewe huamini kuwa namba 0 inatumika katika kujaza idadi ya byte moja. Digital counting huanzia 0, wakati natural counting huanzaia 1; yaani hujui fact hiyo?
Kwenye byte countig number zinaazia 0x00 ambayo ni natural 0 hadi 0xFF ambayo ni natural 255. Jumla kwenye byte hiyo zinakuwa ni 256 ambayo ndiyo Whatsupp wanatumia kuwa kila group ni byte moja tu. Hakuna member 0 hadi member 255 bali wao wanaangalia idadi ya halisi ya watu kwa kutumia natural counting
Pumba kabisa; hapo ndipo unapoonyesha mapungufu katika ufahamu wako, kwani unaonyesha kuwa hujui hujui kuwa memory capacity ya byte moja ni 2^8; unaangalia namba ya mwisho inayoweza kuwekwa kwenye memory hiyo tu bila kuangalia kuwa ni idadi gani ya namba zinazoweza kutunzwa katika memory hiyo.hoja yangu ipo hapa "256 ni idadi kwenye byte moja"
kubali umeteleza
Mkuu Ingia Google mara moja tu utapata jibu ... hizi sio zama za kusumbuliwa na swali kama hilo kwa mud9a mrefu ikiwa watu wameuchuna. Lakini in short ni sera yao tu... ni kama vile Instagram wanaruhusu video fupi fupi around 14 seconds mpaka recently wakaongeza option ya 'Continue watching ' au twitter ambao wanaruhusu jumbe fupi fupi around 144 characters tu ...WhatsApp wameweka kiwangao cha washiriki (Group member) kuwa ni 256.
Ni nini siri ya hii number 256 kwa WhatsApp.
Yaani kwa nini 256 na sio 255,254 nk.
Najua wangeweka number yoyote pia ningehoji na hata sasa wakibadilisha na kuwa 556 bado pia nitahoji.
JF ya wabobezi mtusaidie kuna siri gani iliyo nyuma ya number hii ya 256?.
Najua hawakuiweka tu bali kuna kitu waliangalia
ℳ𝒶𝓈𝓉ℯ𝓇
Sio kweli mkuu, byte is one character with 8 bits ...namba yoyote 0-255 (inclusive) ina byte moja, byte moja siyo 256
ni 2 power_____ sio 3Kwa hiyo ipo siku wataweka 3^8 au haiwezekani
May be lakini basis ya hiyo 2, ni binary number system ambapo computer inafanyia kazi namba mbili tuuu yaani 0 na 1. Ambazo ndio zinaruhusu signals za umeme kusafirisha data kwenye mfumo wa computer. Hizo namba mbili ndio zinathibiti mtiririko wa data 0 inafanya geti lifungwe yaani power off na 1 inaruhusu geti kufunguliwa ili data zipite yaani power on ....Kwa hiyo ipo siku wataweka 3^8 au haiwezekani