GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Naomba kama kuna mtumishi yoyote humu au mtu mwenye imani ya kweli ya kiroho atusaidie kutuambia inakuwaje watu karibia wote wenye jina la Patrick ni wachezaji wazuri mno na sana wa mpira tena waliotukuka? Nimekuja na hili hasa baada ya kufanya utafiti mdogo tu wa wachezaji mpira na nikajiridhisha kuwa kuna siri kubwa pengine iliyojificha mwenyezi Mungu anayo dhidi ya hawa wenye haya majina kwani huwa na vipaji vya hali ya juu vya kucheza mpira tofauti na wenye majina mengine.
Angalia orodha hii kisha ujiridhishe mwenyewe:
Namalizia kwa kuuliza ni kwanini akinapatrick wengi wana kipaji cha kucheza mpira kuliko wanaume wenye majina mengine? Wale mnaojua siri iliyopo tafadhalini karibuni mtufumbue na sisi kama mimi mwenye jina langu la ukweli la kalemera Rwigyema Mazimpaka ambalo huku kwetu Rwanda wenye jina hilo huwa wafumaniwaji tu maarufu wa wake za watu.
Angalia orodha hii kisha ujiridhishe mwenyewe:
- Patrick Mboma... Cameroon
- Patrick Kluivert... Netherlands
- Patrick Berger... Czech republic
- Patrick Vieira... France / senegal
- Patrick Ochieng... Uganda
- Patrick Loko... Senegal
- Patrick Mwangata... Tanzania
- Patrick " Muba " betwell... Tanzania
- Patrick Tabu Mutesa Mafisango... DRC / Rwanda
- Patrick " Pato " Ngonyani... Tanzania