Endelea kupumzika kwa amani Patrick Mutesa Mafisango kamwe mitaa haitakusahau "A lion never die he sleep"

FananiMedia

Member
Jul 29, 2021
28
83
Instagram: fananimedia

Dkika zinayoyoma katika Dimba la Benjamin William Mkapa ubao wa screen kubwa iliyopo kaskazini mwa uwanja unasoma Simba 5-0 Yanga

mashabiki wa Yanga wenye roho ndogo na tayari washatoka uwanjani wakiwa wana sonja sonja.

Benchi zima la Yanga kila mtu amekata tamaa huku mikono Ikiwa shavuni na asijue afanye nini..
kile kilikuwa ni moja kati ya kipigo kizito kuwahi kutoka katika historia ya mechi za watani hao wajadi.

Katikati ya uwanja wachezaji wa Yanga walikuwa wanacheza kama hawataki..

walikuwa wamechoka mnoo.!

maana shoo nzima ya Simba kwa siku ile ilisimamiwa na Kijana kutoka katika ardhi ya Paul Kagame

Patrick Mutesa Mafisango...

Aliwanyanyasa mno viungo wa Yanga..

Aliwafanya alivyotaka....

michoro yote ya ramani uwanjani kwa upande wa Simba ilianzia kwake..

nani ambaye hakutaka kumtizama kiungo yule!
Ilikuwa ni zaidi ya burudani...

wacha nifute machozi kwanza....

Siku chache baada ya derby ile yaani Usiku wa May 17 2012 akiwa na umri wa miaka 32 tu roho ya Patrick Mutesa Mafisango ilikuwa inaacha mwili..

ilikuwa ni ajali mbaya ya gari ambayo ilipelekea umauti wake...

Hii ni siku ambayo kila shabiki wa soka katika ardhi ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania Alikuwa na huzuni kubwa huzuni ambayo kamwe haita sahaulika...

Mitaa ilizizima Taifa lilipoa japo Alikuwa raia wa kigeni ila nani mpenda soka aliyekuwa hampendi Patrick Mutesa Mafisango...

Alikuwa ni zaidi ya namba 6 uwanjani akiwa Simba na katika timu ya Taifa ya Rwanda...

pengine toka aondoke yeye Club ya Simba bado haijapata namba 6 halisi kama alivyo kua Mafusango

Alikuwa ni zaidi ya Punda uwanjani....

chukua mkude weka na mzamiru changanya na Tadoe Lwanga pengine utaweza pata kwa mbali nusu ya Mutesa Patrick.

Hakika kumtizama akiwa anacheza ilikuwa ni zaidi ya burudani....

Ila nani anajali shughuli zote chafu na safi zilikuwa zinafanywa katika miguu yake

Pongezi zote zilikuwa zinaenda kwa kina haruna moshi boban na mfalme wa kariakoo Emmanuel Anord Okwi

Hakuna aliejali kwani siku zote maisha hayako fair .

Katika ubora wake nyota wa zamani wa Manchester united na timu ya Taifa ya France Erick Cantona aliwahi kumwambia kocha wa sasa wa France didier Deschamps wakati huo akiwa mchezaji wa timu ya taifa ya ufaransa kuwa

"wewe umezaliwa kwa ajili ya kukaba na kazi yako ni kukaba na ukipata mpira tupasie sisi tujue cha kufanya"

Alichookiongea cantona Kilikuwa na ukweli nani anajali viungo wakabaji?

Sifa nyingi huwaendea washambuliaji kwa kua wao ndio hupachika mabao

Unakumbuka shughuli ya Patrick viera akiwa na jezi ya the gunners?

Ileya wanaume achana na hii ya wavulana!

alikaba mpaka kivuli ila sifa zotealipewa Henry maisha ndivyo yalivyo!.

Natamani kuendelea kusimulua mengi juu Kiungo Huyu fundi ila sauti na mikono vinaishia na mwili kusisimka huku macho yakitoa matone yenye machozi ya uchungu....

Aliondoka kipindi ambacho Taifa na club zilikuwa zikimukuhitaji

endelea kupumzika kwa amani Mutesa jina lako na matendo yako uwanjani nitasimulia wajukuu zangu pale watakapo sikia jina lako katika mitaa ya msimbazi na kariakoo...

Hatuta sahau ile kasi,kuvu,akili nyingi kwenye kupokonya mipira hakika ukikua mtawala wa dimba la chini..

Ila nani anajali pumzika kwa amani maana simba huwa analala jasho lako na tone lako la damu ulilolifia uwanjani katika mitaaa ya msimbazi na chamazi bado tunalikumbuka kama sio sasa pengine tutaona tena Fundi wa mpira Kamwe mitaa na vitongoji vyake havitakusahau ila vitasimulia jina lako na ubora wako huku mitaa tukisema

REMEMBER THE NAME PATRICK MUTESA MAFISANGO.
 
Naona umeandika kwa hisia sana, tutakumiss sana Patrick mutesa Mafisango
 
Back
Top Bottom