Kwanini weekend hii mechi za Ligi Kuu hazifanyiki, shida nini?

Kaangalie ratiba ya msimu ulio pita mechi tatu za mwanzo za timu yako pendwa na mechi tatu za mwanzo za Yanga
Kwa hiyo kosa likirudiwa ndio linakuwa sio kosa?Hata Azam wamependelewa kwa kuanzia nyumbani mechi 3 mfululizo msimu huu.
Wapanga ratiba wanapanga ratiba kwa upendeleo na timu zingine kukosa haki za kushindana kwa vigezo sawa.
 
Halafu inakuwaje yanga au timu yoyote icheze mechi 3 mfululizo nyumbani? TFF hamna kitu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwakweli bodi ya ligi ni ya hovyo hovyo hovyo kabisa. Sina hakika huyu kasongo hata mpira wa daso tu alishawahi kuugusa tangu azaliwe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simba waliomba mechi yao isogezwe wacheze lakini utopolo na wajinga wenzao kelele nyiiingi eti wanaomba kucheza ili wakae kileleni kwenye msimamo.Na hao bodi ya ligi kwa ujinga ule ule wakachukua hiyo kama sababu!
 
Kwa hiyo kosa likirudiwa ndio linakuwa sio kosa?Hata Azam wamependelewa kwa kuanzia nyumbani mechi 3 mfululizo msimu huu.
Wapanga ratiba wanapanga ratiba kwa upendeleo na timu zingine kukosa haki za kushindana kwa vigezo sawa.
Ume geuza gia angani mwanzo ulisema Yanga ana pendelewa nmekupa fact ya timu yako akili zikarudi
 
Simba waliomba mechi yao isogezwe wacheze lakini utopolo na wajinga wenzao kelele nyiiingi eti wanaomba kucheza ili wakae kileleni kwenye msimamo.Na hao bodi ya ligi kwa ujinga ule ule wakachukua hiyo kama sababu!
Ona hii kenge, utaaje kileleni kama haushindi?
 
Ume geuza gia angani mwanzo ulisema Yanga ana pendelewa nmekupa fact ya timu yako akili zikarudi
Kwani inaondoa ukweli kwamba Yanga hajapendelewa?Ni kujisifu kwamba sijaiba kwa sababu fulani pia ameiba.Haikufanyi usiwe umeiba..Hata msimu uliopita ratiba niliikosoa kwamba Simba kapendelewa.Mimi sio shabiki maandazi kama wewe kutosema ukweli kwa sababu timu ninayoishabikia itakuwa imepata favour.Wewe huwezi kukiri kwa sababu unazi umekukolea kuliko ukweli.
 
Moja ya vitu viliikwamisha simba zidi ya power ni match fitness yaaani usenge mwingi sana
 
Kwani inaondoa ukweli kwamba Yanga hajapendelewa?Ni kujisifu kwamba sijaiba kwa sababu fulani pia ameiba.Haikufanyi usiwe umeiba..Hata msimu uliopita ratiba niliikosoa kwamba Simba kapendelewa.Mimi sio shabiki maandazi kama wewe kutosema ukweli kwa sababu timu ninayoishabikia itakuwa imepata favour.Wewe huwezi kukiri kwa sababu unazi umekukolea kuliko ukweli.
Baada ya Simba kupendelewa alimaliza msimu na nini? kama haijui mpira unakandwa tu popote Raja Casablanca ni mfano tosha kua mpira ni popote bila shaka una kumbumbu mujarabu
 
Mimi nadhani TFF pale kwenye Bodi ya ligi nafasi ya C.O wa ligi Angekua Anaajiriwa kutoka Nje ili kuja kuleta mapinduzi kwenye usimamizi wa ligi pamoja na kupanga Ratiba.

Kwa Ratiba hii ni dhahiri wachezaji wata ota Vitambi. Bodi ya ligi Iache Upangaji mbovu kama uhu umeshaona wapi ligi ina simama kila siku ni Haibu kwa wapanga Ratiba.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
Yeye ndo chanzo cha haya yote
 
Bado najiuliza sana kama TFF na taifa tuna ndoto za kuzipeleka timu zetu kimataifa. Ilitakiwa weekend hii match ziendelee ili kuweka good fitness kwa wachezaji wetu hasa wa timu zetu zinazowakilisha kimataifa kwa maana ya Young Africans, Simba na Singida FG, lakini badala yake mechi zinasogezwa mpaka Oktoba.

TFF inatakiwa waelewe Simba ana match nyingi za kimataifa ili kuepuka viporo visivyo vya lazima ilitakiwa weekend hii match ziendelee.

Pia kwa sisi wazee wa mbungi kukaa muda mrefu bila kuangalia ligi yetu bora namba 5 inaboa sana.

N A W A S I L I S H A.
Hasa bila Yanga kucheza wikendi inakuwa kero sana!
 
Admin WA page ya jamii forums nimemfowadia Uzi aupost Facebook lakini naona hataki sijui shida nini
 
Back
Top Bottom